JWTZ,Rais Magufuli amteua Mnadhimu Mkuu wa Jeshi

By Channel 10, 14w ago

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dk. John Pombe Magufuli leo Februari 14 amemteua Meja Jenerali Yakubu Hassan Mohamed kuwa Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania JWTZ. Taarifa iliyotolewa na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu jijini Dar es Salaam imesema pamoja na uteuzi huo, Rais[...] The post JWTZ,Rais Magufuli amteua Mnadhimu Mkuu wa Jeshi appeared first on Channel Ten.

ZINAZOENDANA

Kutoka Baraza la Wawakilishi leo

50m ago

Na Ali Issa na Bahati Habibu Maelezo Zanzibar 22/5/2018Serekali ya Mapindizi ya zanzbar ilitoa tahadh...

Ziara ya Kinana Afrika Kusini

Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana, akimkabidhi Rais wa Chama Cha Ukumbozi wa Afrika Kusini (ANC) ...

Kamati ya Bunge Kumuhoji Mugabe Jumatano

Kamati ya Bunge imepanga kumhoji Rais wa zamani Robert Mugabe Jumatano kuhusiana na upotevu wa dola z...

.Marekani Wamuonya Kim Jong-un Watakapokutana na Trump

Makamu wa Rais wa Marekani Mike Pence amemuonya kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong-un kuwa asimchez...

Haji Manara Awaomba Radhi Mashabiki wa Simba

Afisa habari wa  Simba, Haji Manara amewaomba radhi mashabiki wa klabu hiyo kwa kitendo cha kiko...

IGP Sirro, Fatuma Karume Wakutana Kwaajii ya Mazungumzo

MKUU wa Jeshi la Polisi (IGP) Simon Sirro leo amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Chama cha Wa...

NAIBU WAZIRI LUGOLA APONGEZA UJENZI DAMPO LA KISASA DODOMA

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Kangi Lugola (wa tatu kushoto) akiwa katik...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek