Shinikizo la Rais Zuma kumtaka Ajiuzulu,Agoma kuachia madaraka, ashangazwa na maamuzi ya chama chake

By Channel 10, 1w ago

Rais wa afrika kushini JACOB ZUMA ameshangazwa na uamuzi wa chama chake wa kumtaka ajiuzulu akidai kuwa hajuikosa lililosababisha uamuzi huo ambao amesema unatokana na njama za maadui zake kisiasa ndani ya chama ambao walipanga kumdhalilisha. Hata hivyo chama cha ANC kimesema ifikapo kesho Alhamisi Februari 15 wanadhamiria kupiga kura ya kutokuwa na imani na[...] The post Shinikizo la Rais Zuma kumtaka Ajiuzulu,Agoma kuachia madaraka, ashangazwa na maamuzi ya chama chake appeared first on Channel Ten.

ZINAZOENDANA

Jeshi la Kupambana na Ugaidi,Umoja wa Ulaya watoa Euro Milioni 50

9m ago

Umoja wa Ulaya umeahidi kutoa yuro milioni 50 kwa jeshi la pamoja la kupambana na ugaidi katika eneo ...

RAIS MAGUFULI AHUDHURIA MKUTANO WAKUU WA NCHI ZA JUMUIYA AFRIKA MASHARIKI ULIOMALIZIKA LEO JIJINI KAMPALA NCHINI UGANDA

29m ago

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mwenyekiti wa J...

Wananchi zaidi ya 1200 wajitokeza Songamebele zinduzi wa Ujenzi kituo cha afya Kirando

55m ago

Zaidi ya wananchi 1200 wa kata ya Kirando inayojumuisha vijiji vinne vya Mtakuja, Mpata, Kichangani n...

POLAND KUFUNGUA OFISI ZA UBALOZI WAKE NCHINI TANZANIA

1h ago

Na Ismail Ngayonga.SERIKALI ya Jamhuri ya Poland mapema mwezi April mwaka huu inatarajia kufungua upy...

CDMT YABORESHA MIUNDOMBINU YA CHOO HANDENI

3h ago

 Uongozi wa Halmashauri ya Wilayaya Handeni umekabidhiwa rasmi mradi wa choo cha matundu sita ki...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek