Rais Zuma Agoma Katu Katu Kujiuzulu " Sijiuzulu ng'o"

By Udaku Specially, 14w ago

Rais wa Afrika Kusini, Jacob Zuma amesema kwamba hajafanya kosa lolote, hivyo hawezi kujiuzulu kama chama chake cha African National Congress (ANC) kilivyokuwa kikimtaka afanye leo.Rais Zuma ameyasema hayo alipokuwa akifanya mahojiano na kituo cha runinga cha SABC cha Afrika Kusini, baada ya chama chake kumtaka kujiuzulu kabla ya siku kuisha ama vinginevyo bunge litapiga kura ya kutokuwa na imani naye kesho.Kumekuwepo na mashinikizo mbalimbali ya kumtaka Rais Zuma ajiuzulu kutokana na tuhuma mbalimbali za rushwa zinazomkabili.Rais Zuma amesema, chama hicho na wengine wote wanaomtaka ajiuzulu h...

ZINAZOENDANA

Mpasuko Walinyemelea Kanisa la KKKT Nchini....Askofu Apigwa, Kiti Chaibiwa

11m ago

Askofu  wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Njombe, Isaya Mengele, am...

Ni zamu ya Dk Kigwangalla bungeni leo

14m ago

Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk Hamisi Kigwangalla leo atawasilisha bungeni hotuba ya bajeti ya wiz...

Mpasuko Walinyemelea Kanisa la KKKT Nchini....Askofu Apigwa, Kiti Chaibiwa

18m ago

Askofu  wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Njombe, Isaya Mengele, am...

Simba na Kagera Sugar waweka hadharani vikosi vyao vitakavyochuana leo

24m ago

Mabingwa wapya wa kombe la ligi kuu Tanzania Bara, Simba SC, na klabu ya Mtibwa Sugar wameweka hadhar...

Trump ataka kujua kama FBI walichunguza kampeni zake

27m ago

Rais wa Marekani Donald Trump amesema kuwa anahitaji uchunguzi kufanyika ilikubaini kama shirika la u...

Jeff Koinange: Anatambulika kwa sauti ya kukosha ya utangazaji

32m ago

Jeff Koinange alizaliwa Januari 7, 1966, katika familia ya hadhi ya Mbiyu Koinange ambaye alikuwa sio...

Sugu kutinga bungeni leo

1h ago

Siku 11 baada ya mbunge wa Mbeya, (Chadema) Joseph Mbilinyi maarufu 'Sugu' kuachiwa huru...

Wasaidizi wa Makamu wa Rais, wawakumbuka yatima

2h ago

Wasaidizi wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wametoa futari kwa kituo cha watoto Ya...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek