Rais Mstaafu na Mawaziri wake wafunguliwa mashtaka kwa kosa hili

By Millard Ayo, 1w ago

Leo February 14, 2018 Mapambano dhidi ya rushwa yanaendelea kupamba moto ambapo Rais Mstaafu na mawaziri tisa ambao walikuwa katika utawala wake wameshtakiwa kwa rushwa nchini Guatemala. Alvaro Colom na mawaziri hao wanakabiliwa na mashtaka hayo ya rushwa kufuatia kuhusishwa na ubadhirifu wa fedha wakati wakitengeneza mradi wa mfumo wa usafiri wa mabasi ya umma katika mji wa Guatemala mwaka 2010. Waendesha mashtaka wameeleza kuwa kuna maswali mengi ya […]

ZINAZOENDANA

Jeshi la Kupambana na Ugaidi,Umoja wa Ulaya watoa Euro Milioni 50

9m ago

Umoja wa Ulaya umeahidi kutoa yuro milioni 50 kwa jeshi la pamoja la kupambana na ugaidi katika eneo ...

RAIS MAGUFULI AHUDHURIA MKUTANO WAKUU WA NCHI ZA JUMUIYA AFRIKA MASHARIKI ULIOMALIZIKA LEO JIJINI KAMPALA NCHINI UGANDA

29m ago

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mwenyekiti wa J...

Wananchi zaidi ya 1200 wajitokeza Songamebele zinduzi wa Ujenzi kituo cha afya Kirando

55m ago

Zaidi ya wananchi 1200 wa kata ya Kirando inayojumuisha vijiji vinne vya Mtakuja, Mpata, Kichangani n...

POLAND KUFUNGUA OFISI ZA UBALOZI WAKE NCHINI TANZANIA

1h ago

Na Ismail Ngayonga.SERIKALI ya Jamhuri ya Poland mapema mwezi April mwaka huu inatarajia kufungua upy...

CDMT YABORESHA MIUNDOMBINU YA CHOO HANDENI

3h ago

 Uongozi wa Halmashauri ya Wilayaya Handeni umekabidhiwa rasmi mradi wa choo cha matundu sita ki...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek