Hasara ya fedha ambayo Shirika la Reli Tanzania (TRL) imepata

By Swahili Times, 14w ago

Shirika la Reli Tanzania (TRL) limepata hasara ya TZS bilioni 5 katika kipindi cha mwezi mmoja uliopita kutokana na baadhi ya njia za reli katika Wilaya ya Kilosa Mkoani Morogoro na Gulwe Mkoani Dodoma kusombwa na mafuriko. Hayo yamesemwa na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Makame Mbarawa wakati akiwa kwenye ziara ya ukaguzi wa ukarabati wa miundombinu ya reli. Kutokana na miundombinu katika maeneo hayo kuharibika mara kwa mara, waziri mwenye dhamana amesema kuwa serikali imejipanga kuhakikisha kuwa inapata suluhisho la kudumu. Aidha, Waziri Mbarawa amewatoa hofu wafanyabishara ambap...

ZINAZOENDANA

Wananchi Waipongeza Serikali Ujenzi wa Daraja la Mto Kilombero

2w ago

Na Jonas KamalekiMatumaini ya wananachi wa wilaya za Ulanga, Malinyi na Kilombero ya kijamii na kiuch...

Mbarawa atembelea bandarini, atoa siku tano kwa TPA

2w ago

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa ameipa siku tano Mamlaka ya Usimami...

Waziri Mbarawa akagua miradi ya scanner katika bandari ya Dar es Salaam

2w ago

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof Makame Mbarawa ametembelea Bandari ya Dar es Salaam na...

Mbarawa atembelea bandarini, atoa siku tano kwa TPA

2w ago

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa ameipa siku tano Mamlaka ya Usimami...

Matukio Yote ya Rais Magufuli Hii leo Mkoani Morogoro

2w ago

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akivuta utepe pamoja na W...

Daraja la Mto Kilombero labatizwa jina Daraja la Magufuli

2w ago

Rais John Magufuli amezindua daraja la mto Kilombero ambalo kwa sasa linaitwa daraja la Magufuli.Akit...

Daraja la Mto Kilombero labatizwa jina Daraja la Magufuli

2w ago

Rais John Magufuli amezindua daraja la mto Kilombero ambalo kwa sasa linaitwa daraja la Magufuli.Akit...

RAIS DKT. MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANANCHI,AFUNGUA DARAJA KUBWA MTO KILOMBERO LILOLOPEWA JINA NA DARAJA LA MAGUFULI

2w ago

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akivuta utepe pamoja na...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek