Breaking News..Zari Ambwaga Diamond Platnumz Siku ya Valentine Day...Kisa Kizima Hichi Hapa

By Udaku Specially, 2w ago

Zarinah Hassan(Zari) ametangaza kuvunja rasmi mahusiano yake ya kimapenzi na Staa wa Bongo Fleva nchini humo, Nasibu Abdul(Diamond Platnumz)Kwa kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa kijamii wa Instagaram, Zari amesema kilichompelekea kufanya hivyo ni kutokana na Diamond kutokuwa mwaminifu kwenye mahusianoZari na Diamond katika kipindi chao cha mahusiano kilichodaiwa kuanza Novemba 2014 wameweza kupata watoto wawili, wa kike anaitwa Tiffah na wa kiume anaitwa Nillan

ZINAZOENDANA

Zamaradi Mketema aanza kunukia Wasafi Tv na Wasafi Fm

6h ago

Mtangazaji mkongwe nchini Tanzania, Zamaradi Mketema ameingia katika orodha ya watakaohusika kikazi k...

Wimbo wa 'Subhalkheri' wawaponza Aslay na Nandy

18h ago

Msanii wa Bongo fleva Aslay na msanii mwenzake Nandy ambao wanatamba sana na wimbo wao wa 'Suba...

Mambo matano ya kufahamu kuhusu baunsa (mlinzi) wa Diamond

20h ago

SUALA ya ulinzi halina mjadala kwa watu maarufu kwani humuweka msanii kwenye nafasi nzuri zaidi ya us...

VIDEO: Zari Atoboa Siri Rasmi Kuachana na Diamond, Amwanika Vibaya '€œKukumbatiana na ma X Kwenye Public'€

21h ago

Kwa mara ya kwanza Zari the Bossy Lady ambaye ni mama watoto wa msanii wa muziki wa kizazi kipya nchi...

ZARI THE BOSI LADY: NIMEMBLOCK DIAMOND PLATINUMZ WIKI TATU HATUONGEI

22h ago

Mrembo Zari Hassan maarufu Zari The boss Lady amefunguka na kueleza kuwa hana mpango wowote wa kurudi...

KAMATA 5 USIZOZIJUA KUHUSU BAUNSA WA DIAMOND PLATNUMZ

1d ago

NA CHRISTOPHER MSEKENA SUALA ya ulinzi halina mjadala kwa watu maarufu kwani humuweka msanii kwenye n...

Video: Ngoma za Diamond na Alikiba zilivyonaswa na Wakazi

1d ago

Msanii wa muziki Bongo, Wakazi amefunguka sababu iliyompelekea kuachia remix ya ngoma ya Alikiba '...

Zari aelezea sababu kuu za kummwaga Diamond Platnumz

2d ago

Zari aelezea sababu kuu za kummwaga Diamond Platnumz

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek