Mwigulu awakemea wanasiasa wanaoihusisha Serikali na Shambulio la Lissu

By Edwin Moshi, 14w ago

Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi Dkt. Mwigulu Nchemba amewataka wanasiasa kuacha kutumia kuumia kwa mbunge Tundu Lissu kama chambo ya kisiasa katika majukwaa.Dkt. Mwigulu amesema hayo jana mkoani Singida wakati wa kampeni za udiwani kata ya Mitunduluni.Mwigulu  amewataka wanasiasa  waache kutumia matatizo ya ndugu yao kama mitaji ya kisiasa badala  yake waje na hoja za maana za kusaidia katika maendeleo ya nchi.Aliongeza kusema kuwa mwaka uliopita uhalifu wa ajabu ulitokea ambapo kuna watoto wadogo wa chekechea walitekwa na kuuwawa ambao hawakuwa  hata na  shida na mtu...

ZINAZOENDANA

KATIBA MPYA: Rais Pierre Nkurunziza kuiongoza Burundi hadi mwaka 2034

51m ago

Wapiga kura nchini Burundi wameunga mkono mabadiliko ya katiba ambayo yatamruhusu Rais wa nchi hiyo k...

Uongozi Yanga Wafunguka Sakata la Kula Mali za Majalida

57m ago

Uongozi wa klabu ya Yanga kupitia Msemaji wake, Dismas Ten, umepuuzia taarifa zilizoenea mitandaoni n...

Mark Zuckerberg Kuhojiwa Kesho na Wabunge wa Ulaya

15h ago

Mwaka huu 2018 umekuwa ni mwaka wa tofauti kidogo kwa kampuni ya Facebook pamoja na mkurugenzi wake...

Wapiga kura waidhinisha marekebisho ya katiba Burundi

16h ago

Tume ya Uchaguzi nchini Burundi imetangaza kwamba kambi iliyokuwa inaunga mkono marekebisho ya katiba...

Moto waanza kuwaka kiti cha Mbowe Chadema

19h ago

Dar es Salaam. Chadema imeanza uchaguzi kuwapata viongozi wake huku kukiwa na minong'ono kwamb...

Nicolas Maduro ashinda uchaguzi kwa kishindo Venezuela

21h ago

Rais wa Venezuela Nicolas Maduro ameshinda tena kiti cha Urais kuiongoza nchi hiyo kwenye uchaguzi ul...

Serikali Yasisitiza Kutowapa Mikopo Wanafunzi Waliosoma Shule Binafsi....Vipaumbele Vyake ni Kwa wasio Na Uwezo

21h ago

Serikali imesema kuwa mwanafunzi aliyemaliza shule binafsi inachukuliwa moja kwa moja kuwa anauwezo w...

Rais Nicolas Maduro ashinda uchaguzi nchini Venezuela

21h ago

Rais Nicolas Maduro wa Venezuela ametangazwa mshindi wa uchaguzi wa urais ambao ulifanyika nchini hum...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek