"Tundu Lissu asingepona" - Mwigulu Nchemba

By Edwin Moshi, 14w ago

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba amefunguka na kuweka wazi kuwa baadhi ya wanasiasa wanaohubiri sakata la Lissu kupigwa risasi wanafanya siasa kwani ukweli ni kwamba bila serikali kiongozi huyo angekuwa amepoteza maishaMwigulu amesema hayo leo Februari 14, 2018 akiwa Singida na kudai kuwa bila jitihada za serikali huenda Mbunge huyo wa Singida Mashariki Tundu Lissu angekuwa amepoteza maisha kufuatia shambulio la kupigwa risasi akiwa mjini Dodoma. "Lissu aliposhambuliwa daktari aliyekwenda kuokoa maisha yake yaani huduma ya kwanza ile ambayo isingefanyika Lissu angepo...

ZINAZOENDANA

Magufuli sasa wameandika wasifu wa marehemu (obituary) kwa sera ya mambo ya nje

4d ago

Magufuli sasa wameandika wasifu wa marehemu (obituary) kwa sera ya mambo ya nje tuliyorithi kutoka kw...

Mwigulu aagiza kutolewa vibali vya mikutano

1w ago

Waziri wa Mambo ya Ndani, Dk Mwigulu Nchemba ameagiza jeshi la Polisi nchini kuruhusu taasisi za dini...

Waziri Nchemba atoa agizo kwa jeshi la Polisi kuhusu Vibali vya Mikutano

Waziri wa Mambo ya Ndani, Dkt. Mwigulu Nchemba ameagiza jeshi la Polisi nchini kuruhusu Taasisi za di...

Waziri Nchemba atoa agizo kwa jeshi la Polisi kuhusu Vibali vya Mikutano

1w ago

Waziri wa Mambo ya Ndani, Dkt. Mwigulu Nchemba ameagiza jeshi la Polisi nchini kuruhusu Taasisi za di...

Waziri Mwigulu atoa agizo zito kwa jeshi la Polisi kuhusu Taasisi za dini

1w ago

Waziri wa Mambo ya Ndani, Dkt. Mwigulu Nchemba ameagiza jeshi la Polisi nchini kuruhusu taasisi za di...

Viongozi 12 hawajulikani walipo - Mbunge Bwege

2w ago

Mbunge wa Kilwa Kusini Selemani Bungara kwa tiketi ya CUF amefunguka na kusema kuwa kuna viongozi kum...

Viongozi 12 Hawajulikani Walipo - Mbunge Mbwege

Mbunge wa Kilwa Kusini Selemani Bungara kwa tiketi ya CUF amefunguka na kusema kuwa kuna viongozi kum...

"IGP Sirro, CCM hawana aibu" - Godbless Lema

2w ago

Mbunge wa Arusha mjini kwa tiketi ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) amemshauri Mkuu wa J...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek