Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Yawajibu CHADEMA

By Edwin Moshi, 14w ago

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imezijibu hoja sita za Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kuhusu uchaguzi mdogo wa ubunge katika jimbo la Kinondoni.Majibu hayo yametoka baada ya Chadema kuilalamikia tume na watendaji wake walioteuliwa kusimamia uchaguzi huo.Katika taarifa yake kwa vyombo vya habari jana, NEC ilidai haijapokea barua yoyote kutoka Chadema licha ya chama hicho kikuu cha upinzani bungeni, kuvieleza vyombo vya habari kwamba kimeiandikia barua tume kuhusu wakuu wa wilaya kushiriki mikutano ya kampeni za kuwanadi wagombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na tume haijachukua hatu...

ZINAZOENDANA

Kimenuka: Viongozi Wawili Chadema Wavuliwa Uanachama

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimewavua uanachama viongozi wake wawili ambao ni aliyek...

KATIBA MPYA: Rais Pierre Nkurunziza kuiongoza Burundi hadi mwaka 2034

51m ago

Wapiga kura nchini Burundi wameunga mkono mabadiliko ya katiba ambayo yatamruhusu Rais wa nchi hiyo k...

Uongozi Yanga Wafunguka Sakata la Kula Mali za Majalida

57m ago

Uongozi wa klabu ya Yanga kupitia Msemaji wake, Dismas Ten, umepuuzia taarifa zilizoenea mitandaoni n...

Viongozi Wawili CHADEMA Wavuliwa Uanachama

3h ago

Mwenyekiti wa Baraza la Vijana la Chadema, Patrick Ole Sosopi, ametangaza kuwafuta uanachama wanacham...

Kimenuka..CHADEMA yafukuza Wanachama Kwa Usaliti

Mwenyekiti wa Baraza la Vijana la Chadema (BAVICHA), Patrick Ole Sosopi, ametangaza kuwafuta uanacham...

'Natakiwa Kuombwa Msamaha, Nimetumilia Kifungo Bila Sababu ya Msingi' - Sugu

Mbunge wa Mbeya Mjini (CHADEMA) Joseph Mbilinyi maarufu kama Sugu amedai kwamba anatakiwa kuombwa msa...

Mark Zuckerberg Kuhojiwa Kesho na Wabunge wa Ulaya

15h ago

Mwaka huu 2018 umekuwa ni mwaka wa tofauti kidogo kwa kampuni ya Facebook pamoja na mkurugenzi wake...

Chadema yawafutia uanachama wawili

15h ago

Mwenyekiti wa Baraza la Vijana la Chadema, Patrick Ole Sosopi, ametangaza kuwafuta uanachama wanacham...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek