Rais Magufuli Aungana na Wauminii Katika Misa ya Majivu

By Edwin Moshi, 2w ago

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipakwa majivu wakati wa ibada ya Jumatano ya Majivu katika kanisa la Mtakatifu Joseph jijini Dar es salaam asubuhi ya leo.RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli ameungana na waumini wa Kanisa Katoliki na wakristo wengine katika ibada ya Jumatano ya majivu inaoashiria kuanza kwa mfungo mtukufu wa kwaresma.Magufuli akiwa na mkewe, Mama Janeth Magufuli wameungana na waumini hao katika ibada iliyoongozwa na Muadhama Askofu Mkuu, Polycarp Kardinali Pengo wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam katika Kanisa la Mtakat...

ZINAZOENDANA

Rais Magufuli atoa Milioni 2 kwa Kanisa huko Chato Geita

8h ago

Rais Mhe.Dkt John Pombe Magufuli akishiriki Ibada ya misa Takatifu katika kanisa la kigango cha Mlima...

Serikali yatumbua Mkandarasi wake

10h ago

Waziri wa maji Mhandisi Isaac Kamwele ameagiza kuondolewa kwa msimamizi wa mradi mkubwa wa maji katik...

Rais Magufuli aomba aombewe

10h ago

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amewataka wananchi wa mkoa wa Mwanz...

PICHA: Rais Magufuli Achangia Ujenzi wa Kanisa Chato

10h ago

Rais Dkt. John Pombe Magufuli amechangia milioni mbili  ili kusaidia ujenzi wa Kanisa la Parokia T...

Jeshi la Polisi Congo Latumia Nguvu Kuwatawanya Wapinzani Wanaompinga Rais Kabila

10h ago

DR CONGO: Jeshi la Polisi limetumia mabomu ya machozi na risasi kuwatawanya waandamanaji wanaoupinga ...

Chama Nchini China Chapendekeza Kuondolewa Ukomo wa Rais Madarakani

11h ago

HINA: Chama tawala cha Kikomunisti kimependeza mabadiliko ya Katiba ili kuondolewa kwa ukomo wa muda ...

Askofu Kakobe Akana Kanisa Lake Kukwepa Kodi Adai Tuhuma Hizo ni za Kisiasa -

11h ago

DAR: Askofu wa Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship(FGBF), Zachary Kakobe akana Kanisa lake kukwepa...

Chama cha Kikomunisti China,Chaondoa kikomo cha mihula miwili kwa rais na makamu wake

11h ago

Chama cha Kikomunisti nchini China kimependekeza kuondoa kikomo cha mihula miwili kwa rais na makamu ...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek