Kuhusu Afya ya Spika Job Ndugai

By Edwin Moshi, 14w ago

Katibu wa Bunge, Stephen Kagaigai amesema hali ya afya ya Spika wa Bunge, Job Ndugai aliyepo nchini India inaendelea vizuri.Kagaigai amesema leo Februari 14,2018 kuwa Spika Ndugai yupo India kwa ajili ya kuangalia afya yake (check-up) na anatarajiwa kurejea nchini wakati wowote.Katibu huyo wa Bunge amesema, '€œTulikwisha kusema kwamba Spika yuko India kwa ajili ya 'check-up' na hali yake inaendelea vizuri.'€Alipoulizwa kuwa Spika atakuwa ughaibuni hadi lini, Kagaigai amesema: '€œHilo ni kati ya daktari wake na yeye lakini ninachoweza kusema wakati wowote anaweza kurud...

ZINAZOENDANA

Spika Ndugai amkaribisha tena Sugu bungeni

23m ago

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai leo, Mei 22 amemkaribisha Mbunge wa Mbe...

Ndugai aitaka Serikali kuhakiki mikataba yake na wawekezaji

3h ago

Spika wa Bunge Job Ndugai ameitaka Serikali kuhakiki mikataba yake na wawekezaji badala ya kusubiri k...

Ndugai aitaka Serikali kuhakiki mikataba yake na wawekezaji

3h ago

Spika wa Bunge Job Ndugai ameitaka Serikali kuhakiki mikataba yake na wawekezaji badala ya kusubiri k...

Samsung Yazindua Simu Mpya ya Samsung Galaxy J8

17h ago

Najua ulikua unadhani tumemaliza na simu za Samsung kwa siku ya leo, lakini kuna simu moja kutoka Sam...

Nipah: Ugonjwa hatari unaoenezwa na popo wazuka na kuua watu tisa India

19h ago

Maafisa wa afya katika jimbo la Kerala, kusini mwa India wamethibitisha kwamba watu tisa wamefariki k...

Aliyepasuliwa Kichwa Badala ya Mguu Kulipwa Milioni 100

19h ago

Mahakama Kuu imeamuru Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Mishipa ya Fahamu ya MOI kumlipa fidia ya Milioni ...

SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WAZIRI MKUU MSTAAFU, MHE. JAJI WARIOBA OFISINI KWAKE JIJINI DODOMA.

20h ago

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akizungumza na Waziri Mkuu Mstaafu, Mhe. Jaji. Joseph Sinde...

SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WAZIRI MKUU MSTAAFU, MHE. JAJI WARIOBA OFISINI KWAKE JIJINI DODOMA

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akizungumza na Waziri Mkuu Mstaafu, Mhe. Jaji. Joseph Sinde...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek