Kikwete ataka busara kutumika

By Edwin Moshi, 14w ago

Rais Mstaafu Kikwete amesema umefika wakati busara kutumika kupunguza changamoto za wakimbizi miongoni mwa nchi za Afrika ikiwa siku chache zimepita tangu Tanzania itangaze msimamo wa kutoendelea kuwapa nafasi ya ajira, ukazi wa kudumu, umiliki ardhiAkizungumza kwenye mkutano wa jopo la viongozi mbalimbali duniani lililoundwa kuangalia mfumo wa kuhudumia wakimbizi na jinsi ya kumaliza migogoro iliyopo katika nchi mbalimbali, jijini Dare s Salaam, Dk. Kikwete amesema, jopo hilo pamoja na mambo mengine limekutana kupokea taarifa ya changamoto na kujua jinsi gani nchi zenye uwezo mdogo zinaweza k...

ZINAZOENDANA

Mpasuko Walinyemelea Kanisa la KKKT Nchini....Askofu Apigwa, Kiti Chaibiwa

12m ago

Askofu  wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Njombe, Isaya Mengele, am...

Mpasuko Walinyemelea Kanisa la KKKT Nchini....Askofu Apigwa, Kiti Chaibiwa

18m ago

Askofu  wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Njombe, Isaya Mengele, am...

Simba na Kagera Sugar waweka hadharani vikosi vyao vitakavyochuana leo

24m ago

Mabingwa wapya wa kombe la ligi kuu Tanzania Bara, Simba SC, na klabu ya Mtibwa Sugar wameweka hadhar...

Trump ataka kujua kama FBI walichunguza kampeni zake

28m ago

Rais wa Marekani Donald Trump amesema kuwa anahitaji uchunguzi kufanyika ilikubaini kama shirika la u...

Jeff Koinange: Anatambulika kwa sauti ya kukosha ya utangazaji

32m ago

Jeff Koinange alizaliwa Januari 7, 1966, katika familia ya hadhi ya Mbiyu Koinange ambaye alikuwa sio...

Wasaidizi wa Makamu wa Rais, wawakumbuka yatima

2h ago

Wasaidizi wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wametoa futari kwa kituo cha watoto Ya...

Trump ataka kujua kama FBI walichunguza kampeni zake

5h ago

Rais wa Marekani Donald Trump amesema kuwa anahitaji uchunguzi kufanyika ilikubaini kama shirika la u...

Sababu JPM kupewa jezi namba 19

7h ago

Klabu ya Simba imetoa zawadi ya jezi mbili kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pomb...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek