Mwanachama wa CHADEMA asimulia alivyotekwa

By Edwin Moshi, 14w ago

Mwanachama mmoja wa CHADEMA ambaye amefahamika kwa jina moja la Reginald amesimulia jinsi ilivyotokea mpaka yeye pamoja na Kiongozi wa CHADEMA aliyeuawa kwa kupigwa mapanga, Daniel John walivyotekwa na watu wasiojulikanaReginald ameweka wazi suala hilo alipokuwa akizungumza na Mwenyekiti wa Taifa wa CHADEMA, Freeman Mbowe na kusema kuwa walikuja watu na gari ambao wao hawakuweza kuwatambua na kuwaamuru kuingia kwenye gari na kuondoka nao kuelekea kusikojulikana. "Sina hata cha kuongea lakini nilikuwa naomba tu serikali ingeangalia namna ya kutulinda sisi raia wema maana mimi sikuwa na jam...

ZINAZOENDANA

Mbunge Chadema hoi, apelekwa Muhimbili

MBUNGE wa Chadema katika jimbo la Buyungu, mkoani Kigoma, Mwalimu Kasulu Bilango, anayekabiliwa na ma...

Kimenuka: Viongozi Wawili Chadema Wavuliwa Uanachama

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimewavua uanachama viongozi wake wawili ambao ni aliyek...

Viongozi Wawili CHADEMA Wavuliwa Uanachama

9h ago

Mwenyekiti wa Baraza la Vijana la Chadema, Patrick Ole Sosopi, ametangaza kuwafuta uanachama wanacham...

Kimenuka..CHADEMA yafukuza Wanachama Kwa Usaliti

Mwenyekiti wa Baraza la Vijana la Chadema (BAVICHA), Patrick Ole Sosopi, ametangaza kuwafuta uanacham...

'Natakiwa Kuombwa Msamaha, Nimetumilia Kifungo Bila Sababu ya Msingi' - Sugu

Mbunge wa Mbeya Mjini (CHADEMA) Joseph Mbilinyi maarufu kama Sugu amedai kwamba anatakiwa kuombwa msa...

Chadema yawafutia uanachama wawili

21h ago

Mwenyekiti wa Baraza la Vijana la Chadema, Patrick Ole Sosopi, ametangaza kuwafuta uanachama wanacham...

Chadema yawafutia uanachama watatu

1d ago

Mwenyekiti wa Baraza la Vijana la Chadema, Patrick Ole Sosopi, ametangaza kuwafuta uanachama wanacham...

Moto waanza kuwaka kiti cha Mbowe Chadema

1d ago

Dar es Salaam. Chadema imeanza uchaguzi kuwapata viongozi wake huku kukiwa na minong'ono kwamb...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek