"Tunalazimika kukubali kuuawa"- Mbowe

By Edwin Moshi, 2w ago

Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Mhe. Freeman Mbowe amewataka wanachama wa chama hicho kuwa waangalifu juu ya usalama wao katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi ili wasiweze kudhurika na watu wenye nia mbaya naoMbowe ametoa kauli hiyo wakati alivyokuwa anazungumza na waandishi wa habari juu ya kifo cha Katibu wa Kata Hananasif, Daniel John kilichotokea jana katika mazingira ya kutatanisha"Polisi wanawaonea watu wetu, wanawauwa. Tumelalamika mara nyingi mpaka tukafikia hatua ya kususia chaguzi, tunafikili labda wenzetu wanajifunza kwa hilo. Lakini bado tunaona vyombo vya serikali, ni watu ambao ...

ZINAZOENDANA

KATIBU WA CHADEMA KATA YA MAILMOJA AKIMBILIA CCM

Na Mwamvua Mwinyi,Pwani WIMBI la baadhi ya viongozi na wanachama wa vyama vya upinzani kuhamia Chama ...

Jeshi la Polisi Congo Latumia Nguvu Kuwatawanya Wapinzani Wanaompinga Rais Kabila

11h ago

DR CONGO: Jeshi la Polisi limetumia mabomu ya machozi na risasi kuwatawanya waandamanaji wanaoupinga ...

Makamu Mwenyekiti wa UWT afanya ziara katika Mkoa wa Magharibi Unguja

15h ago

Na Is-Haka Omar, Zanzibar.VIONGOZI na watendaji wa Umoja wa Wanawake wa Chama cha Mapinduzi(UWT) Tanz...

Lipumba amwaga 'sumu' Pemba, Mazrui amjibu

15h ago

Picha kutoka kwenye mitandao ya kijamii, Profesa Lipumba anaugua maradhi ya mshipamaji maarufu ‘...

Hukumu ya Ugu Kusomwa Kesho February 26

16h ago

Hatima ya mbunge wa Mbeya Mjini (Chadema), Joseph Mbilinyi maarufu Sugu anayeshtakiwa kwa kosa la kut...

KWANINI WAPIGAKURA WANAPUNGUA?

16h ago

NA MARKUS MPANGALA | MATOKEO ya uchaguzi mdogo wa ubunge katika majimbo ya Kinondoni mkoani Dar ...

Mjasiriamali Carol Ndosi Amuandikia Barua ya Wazi Rais Magufuli

17h ago

Mjasiriamali maarufu nchini Tanzania, Carol Ndosi amemuandikia barua ya wazi Rais wa Jamhuri ya Muung...

MADIWANI 60 WAHAMA CHADEMA

18h ago

EVANS MAGEGE Na AGATHA CHARLES-DAR ES SALAAM | WAKATI vuguvugu la madiwani kujiuzulu nyadhifa za...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek