Polisi kumchunguza Mbowe

By Edwin Moshi, 1w ago

Kamanda wa Polisi Kinondoni, Murilo Jumanne Murilo amefunguka na kusema kuwa jeshi hilo sasa linachunguza kauli alizotoa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa kuhusu kifo cha Kiongozi wa CHADEMA kata ya Hananasif, ambaye mwili wake uliokotwa ukiwa na majerahaKamanda Murilo amesema haya leo Februari 14, 2018 wakati akiongea na waandishi wa habari kuhusu mambo mbalimbali ikiwepo suala la uchaguzi na kusema kuwa wao kama jeshi la polisi wanachunguza taarifa alizotoa Mbowe kuhusu sakata la kifo cha kiongozi huyo wa CHADEMA. "Moja ya kazi kubwa ya jeshi la polisi ni kuchunguza jambo hiyo ni kauli yeye a...

ZINAZOENDANA

Zitto Kabwe 'atema cheche' baada ya kuachiwa huru kwa dhamana

9m ago

Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Mhe. Zitto Kabwe amefunguka kwa mara ya kwanza baada ya kutoka M...

Breaking News: Zitto Kabwe Aachiwa Huru kwa Dhamana ya Milioni 50

39m ago

Mbunge wa Kigoma Mjini na Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe ameachiwa huru kwa dhamana...

Msimamo wa chadema dhidi ya barua ya Msajili wa vyama vya siasa chini

51m ago

Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi ameipa siku tano Chadema kuwasilisha maelezo ...

Polisi auawa kwenye vurugu za mashabiki

53m ago

Afisa Polisi mmoja amefariki hapo jana kufuatia vurugu zilizofanywa na baadhi ya mashabiki wa klabu y...

JAJI MUTUNGI AKILIMA BARUA CHADEMA

2h ago

Na MWANDISHI WETU-DAR ES SALAAM MSAJILI wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi amekiandikia barua C...

Zitto Kabwe Anyimwa Dhamana Morogoro Arudishwa Rumande

Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo na Mbunge wa Kigoma Mjini Mhe. Zitto Kabwe jana usiku alikamatwa ...

Zitto Kabwe akamatwa Morogoro, Polisi watuhumu ziara yake

2h ago

Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amechukuliwa maelezo katika Kituo Kituo cha Polisi c...

ZITTO KABWE BADO AENDELEA KUSOTA MAHABUSU

2h ago

Na Said Mwishehe,Globu ya jamiiKIONGOZI Chama cha ACT -Wazalendo, Zitto Kabwe ameendelea kusota maha...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek