"Wanahangaika tu kutuchonganisha"- Makonda

By Edwin Moshi, 1w ago

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda amefunguka na kumuomba Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kutosikiliza maneno ya mashetani ambao wanataka kuwachonganisha baina yao ili wasiweze kupatana katika utendaji kazi waoMakonda amezungumza hayo wakati akitoa salamu kwa wananchi waliohudhuria uzinduzi wa jengo la huduma za mama na watoto kwenye hospitali ya Amana Jijini Dar es Salaam, lilogharimu kiasi cha shilingi Bilioni 1.2  ambapo mgeni rasmi alikuwa Mhe. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa."Nikuombe Mhe. Waziri Mkuu kuna gazeti moja linahangaika sana kuandika habari mbaya mbaya za mk...

ZINAZOENDANA

MAJALIWA AZUIA USHURU KABLA YA KUNUNUA MAZAO

2h ago

Na CLARA MATIMO   WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amepiga marufuku halmashauri zote nchini kuwatoza ...

SAM KAMANGA- NIC KUENDELEA KUSHIRIKIANA NA WADAU WA 'BARCODES'

2h ago

Waziri Mkuu Mh. Kassim Majaliwa akimkabidhi cheti shukrani Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Bima la ...

SAM KAMANGA- NIC KUENDELEA KUSHIRIKIANA NA WADAU WA 'BARCODES

   Waziri Mkuu Mh. Kassim Majaliwa akimkabidhi cheti shukrani Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika ...

Ahadi ya serikali kwa Shirikisho la Soka Duniani (FIFA)

2h ago

Katika juhudi za kuhakikisha kuwa mchezo wa soka unaendelea na kuheshimika duniani, Serikali ya Tanza...

Fifa yasuuzika kasi ya Rais Magufuli

3h ago

Sifa za Infantino kwa Rais Magufuli ni baada ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kumweleza kuwa tangu Rais...

MWENYEKITI MTAA WA BUNGONI ATOA MABATI 150 KUCAHNGIA UJENZI WA ZAHANATI ILALA

3h ago

Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM mkoa wa Dar es Salaam ambaye ni Mwenyekiti wa Serikali ya mtaa wa Bungo...

Waziri Mkuu Akutana Na Rais Wa FIFA .....Aipongeza Kwa Kupambana Na Rushwa

3h ago

SERIKALI ya Tanzania inalipongeza Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) kwa jitihada na hatua mbalimbali ...

Majaliwa aishukuru CAF kwa Fainali za U-17

3h ago

Ampongeza Ahmad kwa kuiamini Tanzania na kuipa uwenyeji wa Fainali za Afrika, zitakazofanyika mwakani...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek