UHAKIKA: Zari ameachana na Diamond

By Edwin Moshi, 2w ago

Baada ya headlines za muda mrefu na mfululizo wa tetesi za penzi la Zari na muimbaji wa Bongofleva Diamond Platnumz kudaiwa kuyumba, hatimae leo Zari ameamua kuwatangazia mashabiki wake kuwa ameamua kuachana na Diamond Platnumz kwa madai ya mfululizo wa matukio ya usaliti wa kimapenzi.Zari ametangaza kuachana na Diamond Platnumz kupitia ukurasa wake wa instagram na ameandika ujumbe mrefu ulioeleza sababu zote zilizomfanya kufikia maamuzi hayo licha ya kuwa yeye na Diamond wamezaa watoto wawili Nillan na Tiffah, kup...

ZINAZOENDANA

Zari: Wema Amevuruga Penzi langu na Diamond

27s ago

Mzazi mwenza wa staa wa Bongo fleva Zarinah Hasssan 'Zari the Bosslady' amerudi tena kwe...

Zamaradi Mketema aanza kunukia Wasafi Tv na Wasafi Fm

6h ago

Mtangazaji mkongwe nchini Tanzania, Zamaradi Mketema ameingia katika orodha ya watakaohusika kikazi k...

Picha+Video Ujenzi wa lami Barabara ya Makete - Njombe

9h ago

Huu ndio Muonekano wa Ujenzi wa barabara ya Makete Njombe kwa kiwango cha Lami kama ilivyonaswa na Ka...

Makete: Mchungaji aongea Kuhusu Unyama Unaoendelea Hapa Nchini (VIDEO)

9h ago

Suala la vitendo vya Ukatili vinavyoendelea kwenye maeneo mbalimbali hapa nchini, imeelezwa vinatokan...

Mambo matano ya kufahamu kuhusu baunsa (mlinzi) wa Diamond

20h ago

SUALA ya ulinzi halina mjadala kwa watu maarufu kwani humuweka msanii kwenye nafasi nzuri zaidi ya us...

VIDEO: Zari Atoboa Siri Rasmi Kuachana na Diamond, Amwanika Vibaya '€œKukumbatiana na ma X Kwenye Public'€

22h ago

Kwa mara ya kwanza Zari the Bossy Lady ambaye ni mama watoto wa msanii wa muziki wa kizazi kipya nchi...

ZARI THE BOSI LADY: NIMEMBLOCK DIAMOND PLATINUMZ WIKI TATU HATUONGEI

22h ago

Mrembo Zari Hassan maarufu Zari The boss Lady amefunguka na kueleza kuwa hana mpango wowote wa kurudi...

KAMATA 5 USIZOZIJUA KUHUSU BAUNSA WA DIAMOND PLATNUMZ

1d ago

NA CHRISTOPHER MSEKENA SUALA ya ulinzi halina mjadala kwa watu maarufu kwani humuweka msanii kwenye n...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek