Vifaranga Vingine kutoka Kenya Vyateketezwa

By Edwin Moshi, 14w ago

Vifaranga 5,000 na trei za mayai 416 kutoka nchi jirani ya Kenya ambavyo vilikamatwa vikiingizwa nchini kinyume na sheria vimeteketezwa moto kwa kuzingatia haki za wanyamaVifaranga hao walikamatwa katika eneo la mpakani mwa Kenya na Tanzania Namanga ambapo baada ya kukamatwa vifaranga wa kuku wa mayai 5000 wenye thamani ya Tsh 11,500,000 na Trei 416 zenye mayai, yenye thamani ya 3,120,000/ kwa pamoja viliteketezwa kwa moto kwa kuzingatia haki za wanyama (Animal welfare) ambapo kabla ya kuteketezwa mifugo hiyo ililazwa kwa kutumia dawa aina ya Farmaldehyde na kuhakikisha wamekufa kabla ya kucho...

ZINAZOENDANA

Kadinali John Njue

1h ago

Mkuu wa Kanisa Katoliki nchini Kenya ni Kadinali John Njue aliyezaliwa mwaka wa 1944 katika kijiji ch...

WIZARA YA ARDHI YAKAGUA MAENDELEO YA UIMARISHAJI MPAKA WA KIMATAIFA KATI YA TANZANIA NA KENYA

19h ago

 Mkurugenzi wa Upimaji na Ramani Dkt. James Mtamakaya kutoka Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendele...

Raia atoa mwanga zaidi mazungumzo na Uhuru Kenyatta

21h ago

Kila suala lina kiini chake baada ya mkutano kati ya Raila Odinga na Rais Uhuru Kenyatta limeibuka ji...

Aliyemnunulia Zari gari na kutoswa, aibuka na mapya mazito

Baada ya Zari The Boss Lady kukataa gari aina ya Range Rover Sport ya mwaka 2017 kutoka kwa Ringtone ...

Aliyemnunulia Zari gari na kutoswa, aibuka na mapya mazito

Baada ya Zari The Boss Lady kukataa gari aina ya Range Rover Sport ya mwaka 2017 kutoka kwa Ringtone ...

Introducing "TORNADO" by Papa Dennic Ft. Ray C

2d ago

Mwanamuziki kutoka nchini Kenya DENNIS MWANGI aka PAPA DENNIS aliyepo chini ya record label ya MALIZ...

Papa Dennis wa Kenya amvuta Ray C kwenye 'Tordado' (Video)

3d ago

Mwanamuziki kutoka nchini, Kenya Dennis Mwangi aka Papa Dennis ambaye anafanya kazi chini ya record l...

Ali Kiba Namba na Technologia Aidanganyi Mzee Baba...We

ALI Saleh Kiba ndiyo ma­jina matatu yanayo­tambulika kiseri­kali. Mengine ni King Kiba au Al...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek