Wazanzibar Tumfike Rais wa FIFA Kabla TFF kuonana naye

By Mzalendo, 1w ago

Hii imekuwa wiki ya changamoto kwa Wazanzibar wote. Imekuwa ni wiki yenye mtiririko wa mashambulizi ya siri na dhahiri kwa nchi yetu Zanzibar kutokea kwa Mkoloni wetu. Tulianzia lugha nzito na za maudhi kutoka kwa Waziri wa Katiba na Sheria. Ikafuata hotuba nzito ya IGP kuihusisha Zanzibar na mambo ya kigaidi na kumtaka Kamishna wa Polisi Zanzibar kushughulikia. Likaja la watu kukamatwa/kupotea huku polisi ikiwa haina majibu wala haijuwi wako wapi licha ya familia zao kuripoti kama chombo cha usalama wa raia na mali zao. Na mwisho ni hili tamko la Tanganyika Football Federation (TFF) kwamba at...

ZINAZOENDANA

CDMT YABORESHA MIUNDOMBINU YA CHOO HANDENI

28m ago

 Uongozi wa Halmashauri ya Wilayaya Handeni umekabidhiwa rasmi mradi wa choo cha matundu sita ki...

Chemsha bongo: Rais wa (FIFA) ameongeza timu ngapi kwenye idadi ya timu zitazoshiriki michuano ya Kombe la Dunia?

38m ago

Je, umefuatilia habari zilizochapishwa na BBC Swahili kikamilifu wiki hii mtandaoni? Pima ufahamu wak...

La Prof. Kabudi, Zanzibar na Mtego wa Komba - II

52m ago

February 23, 2018 Zanzibar Daima UCHAMBUZI 0 Katika sehemu ya kwanza ya mfululizo wa uchambuzi huu, M...

La Prof. Kabudi, Zanzibar na Mtego wa Komba - I

52m ago

February 22, 2018 Zanzibar Daima UCHAMBUZI 1 KOMBA amepewa sifa nyingi za ujanja. Kwa wanaomjua wanam...

SMZ imesema haina mpango wa kununua boti za kasi kwaajili ya usafiri

54m ago

Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema haina Mpango wa kununua Boti za kasi kwa ajili ya usafiri w...

Hatimaye Poland kufungua tena ofisi za Ubalozi hapa nchini

58m ago

SERIKALI ya Jamhuri ya Poland mapema mwezi April mwaka huu inatarajia kufungua upya Ofisi za Ubalozi ...

RAIS DKT.MAGUFULI AFANYA MAZUNGUMZO NA MAKAMU WA RAIS WA BURUNDI, AKUTANA NA MRATIBU WA MAZUNGUMZO YA AMANI YA BURUNDI

1h ago

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Rais Mstaafu w...

VIDEO:UJUMBE WA RAIS WA POLAND WATUMA SALAMU ZA RAIS MAFUGULI KWA WAZIRI HARRISON MWAKYEMBE

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk. Harrison Mwakyembe (kushoto) akisalimiana na Waziri...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek