Rais Magufuli atoa kibali cha ajira 52,000

By Edwin Moshi, 1w ago

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amempa kibali cha kuajiri watumishi 52,000 katika idara mbalimbali za serikali ikiwemo sekta ya afya.Waziri Mkuu, Kassim MajaliwaWaziri Mkuu ameyasema hayo leo wakati wa uzinduzi wa eneo la huduma za mama na watoto katika hospitali ya Amana iliyopo Ilala jijini Dar es salaam.'€œSerikali inaendelea kuajiri, Rais Magufuli ametupatia kibali cha kuajiri watumishi 52,000 katika idara mbalimbali tayari tulishaanza na Afya lakini tulinza na idadi ndogo,'€ alisema Waziri Mkuu.Aidha Wazi...

ZINAZOENDANA

CDMT YABORESHA MIUNDOMBINU YA CHOO HANDENI

28m ago

 Uongozi wa Halmashauri ya Wilayaya Handeni umekabidhiwa rasmi mradi wa choo cha matundu sita ki...

Chemsha bongo: Rais wa (FIFA) ameongeza timu ngapi kwenye idadi ya timu zitazoshiriki michuano ya Kombe la Dunia?

38m ago

Je, umefuatilia habari zilizochapishwa na BBC Swahili kikamilifu wiki hii mtandaoni? Pima ufahamu wak...

La Prof. Kabudi, Zanzibar na Mtego wa Komba - II

52m ago

February 23, 2018 Zanzibar Daima UCHAMBUZI 0 Katika sehemu ya kwanza ya mfululizo wa uchambuzi huu, M...

La Prof. Kabudi, Zanzibar na Mtego wa Komba - I

52m ago

February 22, 2018 Zanzibar Daima UCHAMBUZI 1 KOMBA amepewa sifa nyingi za ujanja. Kwa wanaomjua wanam...

Hatimaye Poland kufungua tena ofisi za Ubalozi hapa nchini

58m ago

SERIKALI ya Jamhuri ya Poland mapema mwezi April mwaka huu inatarajia kufungua upya Ofisi za Ubalozi ...

RAIS DKT.MAGUFULI AFANYA MAZUNGUMZO NA MAKAMU WA RAIS WA BURUNDI, AKUTANA NA MRATIBU WA MAZUNGUMZO YA AMANI YA BURUNDI

1h ago

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Rais Mstaafu w...

VIDEO:UJUMBE WA RAIS WA POLAND WATUMA SALAMU ZA RAIS MAFUGULI KWA WAZIRI HARRISON MWAKYEMBE

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk. Harrison Mwakyembe (kushoto) akisalimiana na Waziri...

FIFA Yakunwa na Utendaji wa Rais Magufuli

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Rais wa Shirikisho la Soka Duniani (FIFA), Gianni Infantino ameondok...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek