Jalada kesi Mhasibu Takukuru lapelekwa kwa DPP

By Habari Leo, 1w ago

UPANDE wa mashitaka katika kesi inayomkabili Mhasibu Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Godfrey Gugai umeieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam kuwa jalada la kesi hiyo limepelekwa kwa Mkurugenzi wa Mashitaka (DPP) kwa ajili ya kulipitia na kulitolea maamuzi. Mbali na Gugai, washitakiwa wengine katika kesi hiyo ni George Makaranga, Leonard Aloys na Yasini Katera.Gugai anadaiwa kumiliki mali zenye thamani ya Sh bilioni tatu ambazo haziendani na kipato chake. Wakili wa Serikali, Wankyo Simon alidai jana mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba kuwa shauri...

ZINAZOENDANA

Mbao FC yatonywa Simba haitaki mzaha

40m ago

Mchezo huo wa Ligi Kuu utapigwa katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam ambapo Mbao FC wataingia ...

Yanga, Simba wampa mzuka Kipa wa Stand Utd

40m ago

Kocha wake alsema kila kukicha kiwango cha kipa huyo kinaimarika jambo ambalo amesema kama akiendelea...

Sisterz wapo fiti kinoma kuwavaa Simba Qeen

58m ago

Timu ya Sisterz Queen imesisitiza kuwa makosa waliyoyafanya msimu uliopita na kushindwa kutwaa ubingw...

Simba Yaanza Mazoezi Kujiandaa na Vita Dhidi ya Mbao FC

58m ago

Vinara wa ligi kuu soka Tanzania Bara klabu ya soka ya Simba inaanza mazoezi ya kujiandaa na mchezo w...

DALALI ATAKA TAWI LA SIMBA CREAM TANGA KUANZISHA TIMU YA VIJANA U-17

3h ago

ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Simba, Hassani Dalali amelitaka tawi la Simba Cream la Jijini Tanga kuanzisha...

Dalali Ataka Tawi la Simba Cream Tanga Kuazisha Timu ya Vijana U-17

3h ago

 ALIYEKUWA Mwenyekiti  wa Simba, Hassani Dalali akizungumza na wapenzi,wanachama na wakerek...

Yanga yaibuka na zali, yaipiga bao Simba

3h ago

SIMBA na Yanga zimesonga mbele katika mashindano ya klabu barani Afrika, lakini habari kubwa ni kwamb...

Ishu ni Okwi, Chirwa

4h ago

NANI kasema Mwarabu hafungiki? Siyo kwa pacha ya ushambuliaji ya Simba inayoundwa na Emmanuel Okwi na...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek