PICHA: Zawadi aliyotoa Eric Omondi kwa mpenzi Valentines Day

By Millard Ayo, 14w ago

Ikiwa leo February 14, 2018 ni siku ya wapendanao ambapo watu wengi ulimwenguni wanaitumia kwa kuwapa zawadi watu wanao wapenda, sasa mchekeshaji kutokea nchi ya Kenya Eric Omondi ameamua kuitumia siku ya leo kwa kumpa mpenzi wake Chantal zawadi ya Gari. Erick Omondi amempatia mpenzi wake huyo Gari aina ya Red BMW X6 M Sport […]

ZINAZOENDANA

Mtanzania ajipanga kunyakua taji mpira wa meza Kenya

26m ago

Dar es Salaam.  Mchezaji chipukizi wa mchezo wa mpira wa meza nchini, Sara Alidina anaanza kampeni...

Wanasayansi Kenya wavumbua dawa ya Malaria kwa waja wazito

2h ago

Dawa hiyo imefanyiwa majaribio na imegunduliwa kuwa salama kwa matumizi ya kuzuia Malaria kwa wanawak...

Harambee Starlets mazoezini mechi dhidi ya Equatorial Guinea

22h ago

Timu ya taifa ya soka ya wanawake ya Kenya almaarufu Harambee Starlets imeripoti kambini Mei 23, 2018...

P Unit warudisha majeshi, umoja wao kuandaa Mini Album mwaka huu

1d ago

Kundi la wasanii wa muziki kutoka nchini Kenya, P Unit wamekanusha taarifa za kuvunjika kwao na kuthi...

Sintofahamu yaendelea kujitokeza kwa wanasiasa Kenya

1d ago

Kinara wa upinzani nchini Kenya, Raila Odinga, Jumatano wiki hii anatarajiwa kurejea nchini mwake aki...

Ex Wa Ali Kiba Adai Na Yeye Anataka Kuolewa Nje Ya Nchi

Msanii wa Bongo movie aliyegeukia sanaa ya Bongo fleva Sabrina Omary 'Sabby Angel' ambay...

TANZANIA YAPIGIWA MFANO MATUMIZI BORA YA FEDHA ZA MAENDELEO ZA BENKI YA AfDB

2d ago

Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) imeitaja Tanzania kuwa moja ya nchi za Afrika zenye matumizi bora...

Simu zinavyochangia watu kupoteza kazi Kenya

2d ago

Benki hutuma zaidi ya ujumbe mfupi wa simu kila sekunde hii inadhihirisha kwamba watu hutengemea simu...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Tembelea majibu.info, mtandao wetu wa maswali na majibu.
Tembelea mastoriz.com, mtandao wetu wa hadithi na simulizi.

Powered by Stonek