Aslay na Nandy Wafanya Bonge La Shoo (picha ndani)

By Ghafla Tanzania, 4w ago

Siku ya Jumamosi tarehe 17 February msanii mkubwa wa Bongo fleva anayefanya vizuri sana Aslay na msanii mwenzake kutoka THT walipiga bonge la shoo Valentine's Day Mapenzi Mubashara iliyojulikana kama Nandy Aslay pamoja na marafiki. Shoo hiyo iliyohudhuriwa  na nyomi la watu ilipambwa na wasanii wengine wengi kutoka THT na mastaa wengine kama Ben Pol, Dogo janja na wengineo. Hizi ni baadhi ya picha zilizochukuliwa siku ya tukio:                   The post Aslay na Nandy Wafanya Bonge La Shoo (picha ndani) appeared first on Ghafla!Tanzania.

ZINAZOENDANA

New Video: Aslay - Nibebe

18m ago

Msanii wa muziki Bongo, Aslay ameachia video ya ngoma yake mpya iitwayo ‘Nibebe’ audio ya...

NEW VIDEO | Aslay - NIBEBE (Official Music Video)

30m ago

 Twitter: @chokadj @DJChokaUpDates Instagram: @ChokaDJ @DJChokaUpDates  @djchoka...

Mfahamu Shehk Kipozeo, aizungumzia ndoa ya Dogo Janja na Uwoya (Video)

3h ago

Bongo5 Jumatatu hii imekutana na Shehk Hilal Shaweji aka Shehk Kipozeo na amefunguka kuzungumzia hist...

Alikiba, Darassa, Diamond na Vanessa Wang'aa Kwa Tuzo Nchini Uganda

Wanamuziki wakali wa Bongo fleva kama Diamond, Ali kiba, Vanessa Mdee na Darassa wameng'aa kim...

Hamsa Mia - Prezzo X Dogo Janja (Official Video)

WASANII Prezzo wa Kenya na Dogo Janja wameachia video ya wimbo wao mpya uitwao Hamsa Mia. Audio ya ng...

Mama Mzazi wa Irene Uwoya Amuwakia Dogo Janja "Hana Adabu, Amefunga Ndoa Bila Kufuata Utaratibu"

Wakati Dogo Janja na mke wa Irene Uwoya wakiendelea kufurahia maisha ndoa, Mama mzazi wa Irene Uwoya,...

Toka Niolewe na Dogo Janja Natongozwa Mpaka Basi- Irene Uwoya

MUIGIZAJi wa Bongo Movies, Irene Uwoya amesema anashangaa tangu aolewe na Dogo Janja, mwishoni mwa mw...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek