RC MAKONDA ATEMBELEA SHULE ZILIZOONGOZA KWA UANDIKISHAJI MKUBWA WA WANAFUNZI WA DARASA LA KWANZA TANZANIA NZIMA, AAGIZA UJENZI WA SHULE MPYA

By Full Shangwe Blog, 4w ago

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda leo amefanya Ziara kwenye Shule ya Msingi Mbande na Maji Matitu zilizopo Manispaa ya Temeke ambazo zimeongoza kwa kuandikisha idadi kubwa ya Wanafunzi wa Darasa la Kwanza kuliko shule yoyote Tanzania na kusababisha mlundikano mkubwa wa Wanafunzi Darasani. Kwa Shule ya Msingi Mbande imeandikisha zaidi …

ZINAZOENDANA

Vifaa vya walemavu mashuleni,Serikali yaombwa kuwasaidia wanafunzi walemavu

5h ago

Serikali imeombwa kuwasaidia wanafunzi wenye mahitaji maalumu kupata vifaa vya kujifunzia kusoma na k...

Nondo 'awaponza' Sirro, AG na DCI

MAWAKILI wanaomwakilisha Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi nchini (TSNP), Abdul Nondo wamefungulia k...

Wanafunzi saba shule ya sekondari Lyamungo watimuliwa

12h ago

Shule ya sekondari ya Lyamungo iliyopo wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro inafunguliwa leo baada ya kuf...

SHULE ZA AL MUNTAZIR, KSIJ KUTOA ELIMU K WA WATOTO WENYE UMRI WA ZAIDI YA MWAKA MMOJA HADI 18

12h ago

SHULE za Al Muntazir zinaendeshwa chini ya mwamvuli wa KSIJ- Central Board of Education na hutoa &nbs...

Wanafunzi 7 wa shule ya sekondari Lyamungo watimuliwa

12h ago

Shule ya sekondari ya Lyamungo iliyopo Hai mkoani Kilimanjaro inafunguliwa leo baada ya kufungwa kwa ...

Shindano la MO Margarine Star kutoa zawadi ya mil 4.2 kwa wanafunzi 10 nchini

13h ago

Kampuni ya Mohammed Enterprises Tanzania Limited (MeTL Group) imeandaa shindano la kuimba wimbo wa MO...

Mkapa sasa ataka mdahalo kujadili kushuka kwa elimu

15h ago

MKUU wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Rais mstaafu wa Awamu ya Tatu, Benjamin Mkapa amesema elimu ya ...

MWANAFUNZI UDOM ANAOMBA MSAADA WA MASOMO

16h ago

MWANAFUNZI wa Shahada ya Sheria mwaka wa Kwanza katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM),Amaniel Furahin...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek