Prof. Ndalichako aongoza wananchi kuuaga mwili wa Akwilina

By Dewji Blog, 4w ago

Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Joyce Ndalichako amewaongoza viongozi wa kisiasa na mamia ya wananchi waliojitokeza kuuaga mwili wa aliyekuwa Mwanafunzi wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), Akwilina Akwiline aliyefariki dunia Februari 16, 2018. Viongozi wa serikali waliokuwepo katika shughuli ya kuuaga mwili wa marehemu Akwilina ni pamoja na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhaandisi Hamad Masauni, Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano Atashasta Nditiye, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda pamoja na Kamishna wa Polisi Kanda Maalum ya Dar...

ZINAZOENDANA

RC MAKONDA KUVITAJIRISHA VIKUNDI VYA JOGGING DAR.

1d ago

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda ametangaza mpango kabambe wa kuviwezesha vikundi vya ...

RC MAKONDA KUVITAJIRISHA VIKUNDI VYA JOGGING DAR.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda ametangaza mpango kabambe wa kuviwezesha vikundi vya ...

Mdogo wa marehemu Akwilina apelekwa Tanga kusoma

2d ago

Hatimaye Angela Akwilini ambaye ni mdogo wake na aliyekuwa mwanafunzi wa Chuo cha Taifa cha Usafirish...

JAFO AWAAGIZA WAKUU WA MIKOA KUBUNI MIKAKATI YA KUONDOA TATIZO LA OMBAOMBA MIJINI.

2d ago

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI) Selemani Jafo amewata...

JAFO AWAAGIZA WAKUU WA MIKOA KUBUNI MIKAKATI YA KUONDOA TATIZO LA OMBAOMBA MIJINI

Waziri wa Nchi  ,Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI),   Selemani Ja...

Makonda Amwagia Sifa Meya wa Jiji "Meya Mwita ni Mwanasiasa Mwenye Dhamira ya Dhati"

Meya Mwita ni Mwanasiasa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amemmwagia sifa Meya wa Jiji hil...

Paul Makonda awaomba msamaha

2d ago

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Mh. Paul Makonda amefunguka na kuwaomba msamaha baadhi ya wananchi amb...

Maandamano ya Aprili 26 Bado Yampasua Kichwa Makonda Ampa Salamu Meya wa Jiji Kumpelekea kwa Mbowe

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amemtuma meya wa jiji kuzungumza na viongozi wake wa cham...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek