Makonda: Tuache kunyosheana vidole dhidi ya Kifo cha Akwilina

By Mtembezi, 4w ago

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amewaomba wananchi wa Dar es salaam kuwa watulivu kipindi hiki ambapo jeshi la polisi linafanya uchunguzi kubaini aliyehusika na tukio la kupigwa risasi Akwilina. Makonda amesema wananchi wasiwe wa kwanza kunyoshea wengine vidole na kuwalaumu juu ya tukio hilo kwani bado haijafahamika muhusika ni nani. Pia […] The post Makonda: Tuache kunyosheana vidole dhidi ya Kifo cha Akwilina appeared first on Mtembezi.

ZINAZOENDANA

Meya wa Jiji Ataka Watu 10 Waajiliwe Kwa Kuzika Wafu Waliokosa Ndugu

Kama unadhani unazo sifa za shughuli za mazishi, kuna fursa hii iliyotangazwa katika Jiji la Dar es S...

Wachakachuaji korosho mikononi mwa IGP

2h ago

MAOFISA wote waliotajwa kwenye Ripoti ya Tume cha Kuchunguza Korosho zilizochanganywa na kokoto, waki...

Polisi, NEC wacharurana kuelekea uchaguzi wa marudio

3h ago

Jeshi la Polisi limetupilia mbali shutuma zilizotolewa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi kwamba maofisa wa...

14 watiwa mbaroni kwa tuhuma za mauaji

3h ago

Watu 14 washikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoani Tabora kwa tuhuma za mauaji, wizi pamoja na kukutwa na ...

Mwalimu wa Sekondari Mbaroni kwa Kumkashfu Rais Magufuli

Mwalimu wa shule ya sekondari ya Nyakisasa iliyopo mkoani Kagera aliyetambulika kwa majina ya Deograt...

POLISI YATOA ONYO WANAOIBIA WATALII ZANZIBAR.

3h ago

Na Jeshi la Polisi.Jeshi la Polisi nchini limesema Operesheni ya kukabiliana na mtandao wa dawa za ku...

Mwalimu ashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa kumkashifu Rais Magufuli

3h ago

Mwalimu wa shule ya Sekondari ya Nyakisasa Mkoani Kagera aliyetambulika kwa majina ya Deogratias Simo...

Paul Makonda kuwasaidia wanawake waliotelekezwa na wanaume zao

Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda amewatangazia wawanake wote waliotelekezwa na waume z...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek