Aslay na Nandy Wachapwa Faini ya Milioni 5 Kwa Wizi

By Ghafla Tanzania, 4w ago

Msanii wa Bongo fleva Aslay na msanii mwenzake Nandy wanaotamba hivi sasa na wimbo wao wa 'Subalkheri Mpenzi' wamejikuta wakichapwa faini ya shilingi milioni tano baada kutuhumiwa Kwa Wizi wa wimbo. Aslay na Nandy wametawala chati zote za redio na televisheni kwa wimbo wao wa Subalkheri Mpenzi hata juzi juzi hapa walipiga bonge moja la shoo pale escape one lililoitwa Nandy Aslay pamoja na marafiki ambapo watu walijazana kwa ajili ya kwenda kujionea uwezo wa kuimba. Lakini wiki iliyopita tuliweka habari ya wasanii hawa wawili kuimba wimbo huo bila ruhusa ya wenye wimbo ambao Subalk...

ZINAZOENDANA

Kimataifa: Marekani yatangaza vikwazo vya kibiashara dhidi ya China....Wachina Nao Wamejibu Mapigo

18m ago

Nchi ya China Ijumaa hii imeionya Marekani kuwa haiogopi vita vya kibiashara wakati huu ikitishia kut...

New Video: Lady Jaydee f/ Luciano - Anaweza

52m ago

Malkia wa muziki wa Bongo Fleva Lady Jaydee ameachia video ya ngoma yake mpya ‘Anaweza’ a...

Angalia Jinsi Tunda na Casto Dickson Wanavyoponda Raha Zanzibar

Video vixen na mwanamitindo Tunda Sebastian ameendelea kuponda raha na mpenzi wake ambaye ni Mtangaza...

Ndoa ya Uwoya, Dogo Janja pasua kichwa

2h ago

IMEPITA miezi mitano sasa tangu, wasanii wawili wa Bongo, Irene Uwoya anayetamba kwenye Filamu na Dog...

14 watiwa mbaroni kwa tuhuma za mauaji

3h ago

Watu 14 washikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoani Tabora kwa tuhuma za mauaji, wizi pamoja na kukutwa na ...

JAYDEE ATAJA WAKALI WATAKAOSHIRIKI SHOO YAKE YA UNAWEZA

3h ago

Na Humphrey Shao, Globu ya Jamii.MALKIA wa muziki wa Bongo fleva nchini, Judith Wambura a.k.a Lady Ja...

POLISI YATOA ONYO WANAOIBIA WATALII ZANZIBAR.

3h ago

Na Jeshi la Polisi.Jeshi la Polisi nchini limesema Operesheni ya kukabiliana na mtandao wa dawa za ku...

ZANZIBAR HATUKUWA WATU WA KUKOKOTWA - TULIKUWA WATU WA KUONGOZA NJIA

4h ago

Na Hafidh Ally ZANZIBAR HATUKUWA WATU WA KUKOKOTWA – TULIKUWA WATU WA KUONGOZA NJIA BWANA ALICI...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek