Sikiliza wimbo mpya wa Producer wa Samaki ya Galatone, Chrixtone

By Bongo 5, 4w ago

Orodha ya wtayarishaji muziki ambao wanaingia kwenye kuimba inazidi kuongezeka, Chrixtone kutoka Flava Records ambaye amewahi kutengeneza ngoma kali kibao ikiwemo ‘Samaki’ ya Galatone amefuata nyayo hizo. Chrixtone ameachia wimbo wake mpya unaitwao ‘De Lima’ ambao ameutayarisha mwenyewe. Usikilize wimbo huo hapa chini. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram […]

ZINAZOENDANA

New Video: Lady Jaydee f/ Luciano - Anaweza

47m ago

Malkia wa muziki wa Bongo Fleva Lady Jaydee ameachia video ya ngoma yake mpya ‘Anaweza’ a...

TAMASHA LA PASAKA LA MWANZA BAADAYE KUHAMIA  DODOMA

  KAMPUNI ya Msama Promotion inayoandaa Tamasha la Pasaka nchini  ambalo ni la nyimbo za muzi...

Misri yauvaa muziki wa Ureno

1h ago

 Washambuliaji hao wawili ndiyo wanaotikisa kwa sasa kwa kasi yao ya kuzifumania nyavu barani Ulay...

Khadija Kopa ajuta

2h ago

MUIMBAJI wa muziki wa taarab, Khadija Kopa amesema anajutia uamuzi wake wa kutoa mimba alipokuwa kija...

Roma Mkatoliki aomba kupunguziwa adhabu

3h ago

BAADA ya kufungiwa kujihusisha na muziki kwa miezi sita na Baraza la Sanaa Tanzania (Basata) msanii w...

JAYDEE ATAJA WAKALI WATAKAOSHIRIKI SHOO YAKE YA UNAWEZA

3h ago

Na Humphrey Shao, Globu ya Jamii.MALKIA wa muziki wa Bongo fleva nchini, Judith Wambura a.k.a Lady Ja...

OMARION: NAONGEA KISWAHILI SAA 24

4h ago

NEW YORK, MAREKANI | MKALI wa muziki nchini Marekani, Omari Grandberry 'Omarion', a...

VIDEO-Jaydee aeleza sababu ya kuwatosa wasanii wa kike Bongo

5h ago

Msanii aliyedumu kwa muda mrefu katika soko la muziki wa bongo fleva, Judith Wambura 'Lady JayD...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek