Queen Darleen - Mimi ni Bikra, Natongoza Mume wa Mtu

By Ghafla Tanzania, 4w ago

Mwanamuziki wa Bongo fleva kutoka label ya WCB, Queen Darleen ameshangaza watu wengi baada ya kusema kuwa yeye ni mwanamke bikra kitu ambacho hakiwezekani kwani tayari ana mtoto. Queen Darleen alifunguka hayo alipokuwa anafanya Interview na LilOmmy kwenye kipindi cha The playlist ambapo aliulizwa status ya Mahusiano yake ya kimapenzi maana haijulikani kwani Kumekuwa na tetesi anatoka na msanii Mbosso wa WCB. Queen Darleen amefunguka kuwa yeye sio mtu wa kuona aibu yaani akikolea kwa mwanaume akiona hatongozwi basi mwenyewe hujiongeza na kutongoza huyo mwanaume bila uoga wowote na ameshatongoza...

ZINAZOENDANA

New Video: Lady Jaydee f/ Luciano - Anaweza

47m ago

Malkia wa muziki wa Bongo Fleva Lady Jaydee ameachia video ya ngoma yake mpya ‘Anaweza’ a...

Ndoa ya Uwoya, Dogo Janja pasua kichwa

2h ago

IMEPITA miezi mitano sasa tangu, wasanii wawili wa Bongo, Irene Uwoya anayetamba kwenye Filamu na Dog...

JAYDEE ATAJA WAKALI WATAKAOSHIRIKI SHOO YAKE YA UNAWEZA

3h ago

Na Humphrey Shao, Globu ya Jamii.MALKIA wa muziki wa Bongo fleva nchini, Judith Wambura a.k.a Lady Ja...

'€œSio Kiki Mimi na Ben Pol ni Wapenzi'€- Ebitoke

Mchekeshaji kutoka Timamu tv asiyeisha vituko, Ebitoke amefunguka na kusisitiza kuwa yeye na staa wa ...

Mimi Mars: Sina Papara Na Mapenzi

Msanii wa Bongo fleva anayefanya vizuri kwa hivi sasa na ngoma yake mpya ya papara Mimi Mars amekiri ...

Rayvanny Ahofia Kuibiwa Mpenzi Wake na Wanaume Wakware

Mwanamuziki wa Bongo fleva anayefanya vizuri hivi sasa kutoka WCB, Rayvanny amefunguka na kuweka wazi...

Jide na ishu ya kuishi Nigeria

MEI 20, mwaka jana ndani ya Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar, nilibahatika kuwa miongoni mwa waalikw...

Lulu Diva: "Msinifananishe na Shilole"

6h ago

Mwanamuziki wa Bongo fleva anayefanya muziki wa mduara Lulu Diva 'Diva Divana' ameibuka ...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek