Dogo Janja- Uwoya Ana Mimba Yangu Atajifungua Muda Wowote

By Ghafla Tanzania, 4d ago

Mwanamuziki wa Bongo fleva Dogo Janja amefunguka na kuweka wazi kuwa mke wake Muigizaji wa Bongo movie Irene Uwoya ni mjamzito hivi sasa na wakati wowote anaweza akajifungua mtoto wao wa kwanza. Dogo Janja hivi sasa anatamba na wimbo wake mpya uonaoitwa 'Wayu wayu' uliojizoelea umaarufu baada ya yeye mwenyewe kuwa video queen humo ndani akiwa amevaa kama mwanamke na kupaka make up kitendo kilicho amsha hisia za watu wengi. Kwenye media tour anayoendelea kufanya hivi sasa Dogo Janja alitua Times Fm ambapo kwenye mahojiano aliyofanya na Lil'Ommy katika kipindi cha The playlis...

ZINAZOENDANA

New Audio: Silvabel - Washa

2h ago

Msanii wa nyimbo za Injili anaefahamika kwa jina la Silvabel ametoa wimbo mpya uitwao ‘Washa...

Maleek Berry aachia kazi mpya yenye jina kama aliyoshirikishwa Harmonize

4h ago

Mwimbaji na mtayarishaji wa muziki wa kizazi kipya kutoka nchini Nigeria na Staa wa ngoma 'Pon ...

New Video: Don Pol - Nani hakosei?

5h ago

Msanii wa muziki kutoka Tsgang Team Selekta Gang, Don Pol baada ya kufanya vizuri na video ya wimbo T...

Hii ni Suprise Nyingine Kutoka Vodacom Tanzania, Instagram sasa ni Bureeee

Tunajua kuwa Instagram ni moja kati ya mtandao bora sana wa kijamii kwa sasa nahabari kubwa Tanzania ...

Video: Tunakukaribisha barabarani kama unataka kuandamana

6h ago

Kamanda wa Polisi Kanda maalum ya Dar Es Salaam Lazaro Mambosasa amesema wamejipaga vizuri kukabilian...

RC Makonda atoa vibali vya kazi kwa wasanii wa muziki na filamu Dar

9h ago

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Paul Makonda amepiga marufuku baadhi ya watendaji wanaozuia Wasani...

RC MAKONDA ATOA KIBALI CHA KURUHUSU WASANII KUREKODI VIDEO NA MOVIE ENEO LOLOTE WANALOTAKA ILI KUTANGAZA UTALII.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Paul Makonda amepiga marufuku baadhi ya watendaji wanaozuia Wasani...

Teknolojia ya video (VAR) kutumika rasmi kombe la dunia

9h ago

Teknolojia ya video ya 'Video assistant referees' (VAR) inatarajiwa kutumika rasmi katik...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek