PBZ Yaadhimisha Siku ya Wanawake Duniani Kwa Kukadidhi Vitanda Vya Kuzalia Hospitali ya Muembeladu Zanzibar.

By Zanzi News, 4d ago

MKURUGENZI Masoko na Huduma kwa Wateja Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) Said Ali Mwinyigogo, (kushoto) akimkabidhi msaada wa Vitanda vine kwa ajili ya Hospitali ya Wazazi Muembeladu Unguja, chumba cha kujifungulia wajawaziti, ikiwa ni shamra shamra za kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani, akipokea msaada huo. Kaimu Mkurugenzi wa Mtendaji wa Hospitali ya Mnazi Mmoja Zanzibar Dr. Msafiri Marijani , hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya hospitali hiyoMKURUGENZI Masoko na Huduma kwa Wateja Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) Said Ali Mwinyigogo, (kushoto) akimkabidhi msaada wa Vitanda vine kwa ajili...

ZINAZOENDANA

Athari za Magufuli kuzuia Watanganyika Kusafiria Zanzibar

4h ago

Athari za kuzuiliwa Watanganyika kusafiria Zanzibar na serikali ya Magufuli. Miezi kadhaa isiyozidi 6...

Mzanzibar unakubaliana na mbinu hizi kupinga Muungano?

6h ago

Wazanzibar wamechachamaa juu ya Muungano wa Zanzibar na Tanganyika hivyo kutoa ya moyoni juu ya Muung...

Omar King Afanya Ziara Kutembelea Mradi wa Ujenzi wa Uwanja wa Kisasa wa Mao Zedong leo.

7h ago

Katibu Mkuu Wizara ya Vijana Utamaduni Sanaa na Michezo Zanzibar Omar Hassan Omar King, akiwa na Waje...

Wizara ya Afya Zanzibar Kupokea Malalamiko ya Wananchi Kwa Njia ya Simu.

7h ago

Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Hamad Rashid Mohammed akizungumza na waandishi wa habari wa Uongozi wa W...

Fursa za biashara Zanzibar hizi hapa

10h ago

MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Idd amesema ili kufufua na kujenga viwanda katika...

Tuilinde amani iliyopo migogoro athari zake ni mbaya

11h ago

Tuilinde amani iliyopo migogoro athari zake ni mbaya March 16, 2018 Imeandikwa na Salmin Juma -Zanzib...

Vifaa tiba vyaingizwa nchini , matumaini yaongezeka

11h ago

Vifaa tiba vyaingizwa nchini , matumaini yaongezeka March 17, 2018 Jumla ya Film za xree 1600 na mada...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek