DIVA: NAJUTIA KUWA VIDEO QUEEN

By Mtanzania, 4d ago

NA JESSCA NANGAWE STAA wa Bongo Fleva, Lulu Abass maarufu kama Lulu Diva, amesema moja ya mambo anayojutia maishani mwake ni kupitia kwenye kazi ya video queen. Lulu Diva ambaye kwa sasa anafanya vyema na kibao cha 'Amezoea', amesema kupitia kwenye kazi hiyo hakuweza kufanikiwa lolote zaidi ya kufahamika na kuchukuliwa kwa mtazamo hasi na […]

ZINAZOENDANA

New Audio: Silvabel - Washa

2h ago

Msanii wa nyimbo za Injili anaefahamika kwa jina la Silvabel ametoa wimbo mpya uitwao ‘Washa...

Maleek Berry aachia kazi mpya yenye jina kama aliyoshirikishwa Harmonize

4h ago

Mwimbaji na mtayarishaji wa muziki wa kizazi kipya kutoka nchini Nigeria na Staa wa ngoma 'Pon ...

New Video: Don Pol - Nani hakosei?

5h ago

Msanii wa muziki kutoka Tsgang Team Selekta Gang, Don Pol baada ya kufanya vizuri na video ya wimbo T...

Hii ni Suprise Nyingine Kutoka Vodacom Tanzania, Instagram sasa ni Bureeee

Tunajua kuwa Instagram ni moja kati ya mtandao bora sana wa kijamii kwa sasa nahabari kubwa Tanzania ...

Video: Tunakukaribisha barabarani kama unataka kuandamana

6h ago

Kamanda wa Polisi Kanda maalum ya Dar Es Salaam Lazaro Mambosasa amesema wamejipaga vizuri kukabilian...

RC Makonda atoa vibali vya kazi kwa wasanii wa muziki na filamu Dar

9h ago

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Paul Makonda amepiga marufuku baadhi ya watendaji wanaozuia Wasani...

RC MAKONDA ATOA KIBALI CHA KURUHUSU WASANII KUREKODI VIDEO NA MOVIE ENEO LOLOTE WANALOTAKA ILI KUTANGAZA UTALII.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Paul Makonda amepiga marufuku baadhi ya watendaji wanaozuia Wasani...

Teknolojia ya video (VAR) kutumika rasmi kombe la dunia

9h ago

Teknolojia ya video ya 'Video assistant referees' (VAR) inatarajiwa kutumika rasmi katik...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek