New Video: Ivrah - Tulizana

By Bongo 5, 4d ago

Msanii Ivrah ameachia video ya wimbo wake uitwao 'Tulizana' ambao ulikuwa maalum katika siku ya Valentine's Day. Wimbo huo unatokana na wimbo uliowahi kuimbwa na Njenje, unaitwa Tulizana. Wimbo huo umetayarishwa na Promisenyota, wakati video imeongozwa na director Sesam. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote […]

ZINAZOENDANA

New Audio: Silvabel - Washa

3h ago

Msanii wa nyimbo za Injili anaefahamika kwa jina la Silvabel ametoa wimbo mpya uitwao ‘Washa...

Maleek Berry aachia kazi mpya yenye jina kama aliyoshirikishwa Harmonize

4h ago

Mwimbaji na mtayarishaji wa muziki wa kizazi kipya kutoka nchini Nigeria na Staa wa ngoma 'Pon ...

New Video: Don Pol - Nani hakosei?

5h ago

Msanii wa muziki kutoka Tsgang Team Selekta Gang, Don Pol baada ya kufanya vizuri na video ya wimbo T...

Hii ni Suprise Nyingine Kutoka Vodacom Tanzania, Instagram sasa ni Bureeee

Tunajua kuwa Instagram ni moja kati ya mtandao bora sana wa kijamii kwa sasa nahabari kubwa Tanzania ...

Video: Tunakukaribisha barabarani kama unataka kuandamana

6h ago

Kamanda wa Polisi Kanda maalum ya Dar Es Salaam Lazaro Mambosasa amesema wamejipaga vizuri kukabilian...

RC Makonda atoa vibali vya kazi kwa wasanii wa muziki na filamu Dar

9h ago

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Paul Makonda amepiga marufuku baadhi ya watendaji wanaozuia Wasani...

RC MAKONDA ATOA KIBALI CHA KURUHUSU WASANII KUREKODI VIDEO NA MOVIE ENEO LOLOTE WANALOTAKA ILI KUTANGAZA UTALII.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Paul Makonda amepiga marufuku baadhi ya watendaji wanaozuia Wasani...

Teknolojia ya video (VAR) kutumika rasmi kombe la dunia

10h ago

Teknolojia ya video ya 'Video assistant referees' (VAR) inatarajiwa kutumika rasmi katik...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek