Dawa Zinaniponza Mimi Naziacha- Wema Sepetu

By Udaku Specially, 4d ago

Mkurugenzi wa kampuni ya Endless Fame, Wema Sepetu amefunguka na kuweka wazi kuwa dawa ambazo anatumia ndiyo zinamponza kuwa na mwili mkubwa ambao yeye mwenyewe haupendi na kusema kuwa kwa sasa anatamani kuziacha ili aweze kupungua mwili wake.Wema Sepetu ameweka wazi hilo kupitia mtandao wa kijamii wa Instgram wakati akimjibu msanii mkongwe wa muziki wa bongo fleva Ray C ambaye ameweza kufanikiwa kupunguza mwili wake na kilo na kurudi kwenye ubora wake kama zamani. Ray C alikuwa akiwakumbusha Shilole pamoja na Wema Sepetu kuwa wanaweza kupunguza miili yao na kilo na kuwa kama zamani kwa kujito...

ZINAZOENDANA

Maleek Berry aachia kazi mpya yenye jina kama aliyoshirikishwa Harmonize

4h ago

Mwimbaji na mtayarishaji wa muziki wa kizazi kipya kutoka nchini Nigeria na Staa wa ngoma 'Pon ...

New Video: Don Pol - Nani hakosei?

5h ago

Msanii wa muziki kutoka Tsgang Team Selekta Gang, Don Pol baada ya kufanya vizuri na video ya wimbo T...

Huku Drama za Diamond na Wema Zikinoga, Kule Zari Bata Batani - Picha 7

WAKATI Staa wa Bongo Fleva, Diamond Platinumz akiendeleza drama ya mapenzi na aliyekuwa girl friend w...

Hivi ndivyo Billnass atakavyotumia Elimu yake.

6h ago

Msanii wa Muziki wa Rap nchini Tanzania Billnass ameizungumzia jinsi gani ataitumia Elimu yake ambayo...

New Audio: Prince_Charz: Msanii anayetamba na RnB ya Kisukuma

7h ago

Bongo Five inamtambulisha Msanii mkali wa muziki wa rnb anayeimba kwa Lugha ya Kisukuma, Charles Ndel...

Queen Darleen adai akikosa kufanya mapenzi kwa muda mrefu anachanganyikiwa (Video)

8h ago

Msanii wa muziki kutoka label ya WCB, Queen Darleen ameushangaza umma wa Wakenya baada ya kudai kwamb...

RC Makonda atoa vibali vya kazi kwa wasanii wa muziki na filamu Dar

9h ago

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Paul Makonda amepiga marufuku baadhi ya watendaji wanaozuia Wasani...

MRISHO MPOTO AKOSHWA NA PROGRAMU YA UMILIKISHAJI ARDHI CHINI YA MHE.LUKUVI,AKUTANA NA WANANCHI WALIOKABIDHIWA HATI ZAO

Msanii wa muziki wa asili, Mrisho Mpoto ambaye amekuwa kioo cha jamii kwa muda mrefu kutokana na kuto...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek