DC SINYAMULE ATAKA WANAWAKE SAME WAANDALIWE KUSHIKA NAFASI ZA JUU ZA UONGOZI

By Issa Michuzi, 4d ago

Mwandishi wetu ,SameMKUU wa Wilaya ya Same Rosemary Sinyamule amesema Makundi ya wanaweke kuanzia shule ya msingi, sekondari, vyuo, wafanyakazi, wafanyabiashara, wakulima, wanasiasa, viongozi katika nyanja zote wanatakiwa kukabiliana kuhakikisha Wilaya ya Same inawaandaa wanawake kushika  nafasi nyingi zaidi za juu katika uongozi na kuwa kati ya wanawake wanaomiliki biashara kubwa nchini. Sinyamule amewataka Wanawake hao kuwa na kauli moja tu ya kuwa kumiliki viwanda ni haki yao.na kuwataka kuanza kutafuta maeneo ya uwekezaji na kufikiria kukua zaidi, kuchukua hatua bila kusubiri, ku...

ZINAZOENDANA

Mwigulu: '€œUkiona analalamika kama Lema ujue kuna kasoro"

2h ago

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dkt. Mwigulu Nchemba amevunja ukimya kuhusu kauli ya Mwenyekiti wa ...

Nilitamani sana nimuone rafiki yangu Nondo - Waziri Mwigulu Nchemba

4h ago

Waziri wa Mambo ya ndani, Dk Mwigulu Nchemba amewataka wanafunzi kuachana na harakati za kutengeneza ...

Mwigulu Awapa Makavu Wanafunzi Wanaojiingiza Kwenye Siasa " Usifanye Harakati Ili Uwe Adui wa Serikali

Waziri wa Mambo ya ndani, Dk Mwigulu Nchemba amewataka wanafunzi kuachana na harakati za kutengeneza&...

Mwigulu Nchemba Awachana Wanafunzi Na Harakati Zao Za Siasa

5h ago

Waziri wa Mambo ya ndani, Dk Mwigulu Nchemba amewataka wanafunzi kuachana na harakati za kutengeneza&...

DK.MWIGULU AWATAKA WANAFUNZI KUACHA KUTENGENEZA TAASWIRA MBAYA KWA SERIKALI

5h ago

Na Ripota Wetu,Globu ya jamii.WAZIRI wa Mambo ya ndani, Dk.Mwigulu Nchemba amewataka wanafunzi kuacha...

Wafunguliwa Mashitaka Kwa Kumnyima Dhamana Abdul Nondo

5h ago

 MTANDAO wa watetezi wa Haki za Binadamu nchini (THRDC) kwa kushirikiana, Mtandao Wa Wanafunzi (...

DK.MWIGULU NCHEMBA AWACHANA WANAFUNZI NA HARAKATI ZAO ZA SIASA

Waziri wa Mambo ya ndani, Dk Mwigulu Nchemba amewataka wanafunzi kuachana na harakati za kutengeneza...

Video: Wakili wa Abdul Nondo Afunguka Mazito

Kufuatia sakata la Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam Abdul Nonda ambae pia kiongozi wa Mtand...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek