Hiki ndio kikosi cha Yanga kuelekea Botswana

By Issa Michuzi, 4d ago

KIKOSI Cha Mabingwa wa soka nchini na ambao wapo  kileleni mwa msimamo wa ligi kuu Vodacom Tanzania bara, Yanga SC , kimeondoka leo saa 10:15 alfajiri  kikielekea Nchini Botswana  kuwafuata Township Rollers ukiwa ni mchezo wa marudiano wa  michuano ya klabu bingwa barani Afrika.Wachezaji 20 na viongozi 11 pamoja na ...

ZINAZOENDANA

Ndoto ya Simba yafia Misri

12m ago

Tumaini pekee la Simba kucheza mashindano ya kimataifa msimu ujao ni kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara ...

Deportivo La Coruna yatoka sare na Las Palmas La Liga

3h ago

Klabu ya Deportivo La Coruna imetoka sare ya goli 1 - 1 dhidi ya Las Palmas mchezo wa ligi ya ...

Yanga yaangukia Kombe la Shirikisho Afrika

3h ago

Yanga sasa wanasubiri ratiba ya mtoano ya Kombe la Shirikisho Afrika

Yanga yaangukia Kombe la Shirikisho Afrika

3h ago

Baada ya kutolewa katika Ligi ya Mabingwa Afrika, nahodha ya Yanga, Nadir Haroub amesema wanahitaji k...

Yanga yaangukia Kombe la Shirikisho Afrika

4h ago

Simba ikishinda, kila mchezaji Sh 5Mil

4h ago

Vinara hao wa Ligi Kuu Bara wanajivunia rekodi yao ya kuitoa Zamalek mwaka 2003

Yanga yaangukia ilipo Simba

4h ago

Wawakikishi wa Tanzania bara kwenye michuano ya vilabu bingwa Afrika Yanga SC wametolewa kwenye mashi...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek