Trump amfuta kazi Waziri wa Mambo ya Nje

By Mpekuzi Huru, 4d ago

Rais Donald Trump amefuta kazi Waziri wa wa Mambo ya Nje, Rex Tillerson na amemteua Mkurugenzi wa Shirika la Ujasusi la Marekani (CIA) Mike Pompeo."Mike Pompeo, ambaye ni mkurugenzi wa CIA, atakuwa waziri wetu wa mambo ya nje. Atafanya kazi vizuri sana," amesema Trump kwa njia ya Twitter Jumanne."Nakushukuru sana Rex Tillerson kwa huduma uliyoitoa!" ameongeza rais.Shirika la Habari la CNN limesema nafasi...

ZINAZOENDANA

Mwigulu: '€œUkiona analalamika kama Lema ujue kuna kasoro"

3h ago

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dkt. Mwigulu Nchemba amevunja ukimya kuhusu kauli ya Mwenyekiti wa ...

Picha: Mvua zasababisha madhara, Magari yaangukiwa na Miti

3h ago

Mvua zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali nchini Kenya zimeleta madhara ikiwemo miti kuang...

Rais Magufuli amemrudishia Prof. Costa Ricky Mahalu hadhi yake ya Ubalozi.

3h ago

Rais Magufuli amemrudishia Prof. Costa Ricky Mahalu hadhi yake ya Ubalozi. Prof. Mahalu alisimamishw...

Athari za Magufuli kuzuia Watanganyika Kusafiria Zanzibar

4h ago

Athari za kuzuiliwa Watanganyika kusafiria Zanzibar na serikali ya Magufuli. Miezi kadhaa isiyozidi 6...

JAFO AAGIZA MAAFISA HABARI SERIKALINI KUINGIA KWENYE VIKAO VYA MAAMUZI

4h ago

Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.SERIKALI imeziagiza Halmashauri kuhakikisha Ma...

Othaya: Rais Mstaafu Mwai Kibaki alikuwa mbunge wa hapa

5h ago

Mwai Kibaki ambaye kwa sasa ni Rais Mstaafu alikuwa Rais wa Tatu wa Jamhuri ya Kenya.

KCB yatinga fainali Kenya Cup

5h ago

Mabingwa watetezi KCB wametinga fainali ya Ligi Kuu ya Raga (Kenya Cup) ya msimu 2017-2018 baada ya k...

Makonda Amwagia Sifa Meya wa Jiji "Meya Mwita ni Mwanasiasa Mwenye Dhamira ya Dhati"

Meya Mwita ni Mwanasiasa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amemmwagia sifa Meya wa Jiji hil...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek