Kikosi cha Yanga Yawafuata Township Rollers kwa Mechi ya Marudio

By Udaku Specially, 4d ago

Kikosi cha Yanga SC kimeondoka alfajiri ya kuamkia leo kuelekea nchini Botswana tayari kwa mchezo wa marudiano wa klabu bingwa barani Afrika dhidi ya Township Rollers FC Machi 17 mwaka huu.Jumla ya wachezaji 20 na viongozi 11 wakiwemo nane wa benchi la ufundi wamekuwa sehemu ya msafara huo. Yanga SC yawaliza Watanzania, Warudi jangwani vichwa chiniWawakilishi hao wa Tanzania Bara katika  michuano ya klabu bingwa Barani Afrika, Yanga walikubali kipigo cha mabao 2 - 1 kutoka kwa Township Rollers FC katika mchezo wa awali uliyopigwa uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

ZINAZOENDANA

Yanga yaangukia Kombe la Shirikisho Afrika

3h ago

Yanga sasa wanasubiri ratiba ya mtoano ya Kombe la Shirikisho Afrika

Yanga yaangukia Kombe la Shirikisho Afrika

3h ago

Baada ya kutolewa katika Ligi ya Mabingwa Afrika, nahodha ya Yanga, Nadir Haroub amesema wanahitaji k...

Yanga yaangukia Kombe la Shirikisho Afrika

3h ago

Yanga sasa wanasubiri ratiba ya mtoano ya Kombe la Shirikisho Afrika

Yanga yaangukia Kombe la Shirikisho Afrika

3h ago

Baada ya kutolewa katika Ligi ya Mabingwa Afrika, nahodha ya Yanga, Nadir Haroub amesema wanahitaji k...

Yanga yaangukia ilipo Simba

4h ago

Wawakikishi wa Tanzania bara kwenye michuano ya vilabu bingwa Afrika Yanga SC wametolewa kwenye mashi...

Yanga SC yaifuata Simba SC kombe la Shirikisho Afrika

4h ago

Yanga SC yaangukia katika michuano ya kombe la Shirikisho baada ya kutolewa klabu bingwa Barani Afrik...

Rekodi za Simba, Yanga, zinapocheza kimataifa ugenini

Na Baraka MbolemboleKUELEKEA mchezo wao wa kumi wa Ligi ya Mabingwa Afrika Afrika, rekodi ya Yanga SC...

LIVE: TOWNSHIP ROLLERS 0-0 YOUNG AFRICANS, KUTOKA BOTSWANA

Dk 17, Yusuph Mhilu anaenda na mpira sasa, anaukokota na anauota mwenyewe, unarushwa kuelekea Yanga T...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek