Uongozi wa Baraza la Mji Wilaya ya Mkoani Watembelea Miundo Mbinu ya Mitaro.Kuhakikisha Iko Salama Kuepusha Madhara Wakati wa Mvua za Masika.

By Zanzi News, 4d ago

MKURUGENZI Baraza la mji Wilaya ya Mkoani Kisiwani Pemba, amewataka wananchi wilayani humo kuendeleza na kudumisha usafi wa mazingira yaliyowazunguka katika kipindi hichi cha mvua,  ili kujikinga na maradhi ya mripuko yakiwemo kipindupindu na kuharisha.Aliyasena hayo, alipokuwa akizungumza na gazeti hili, huko ofisini kwake Mkoani kufuatia mvua za masika zilizoanza kunyesha.Alieleza katika kipindi hichi cha mvua ni vyema wananchi wakawa makini katika kudumisha usafi wa mazingira, kwani kutofanya hivyo inaweza kuwa sababu ya kupata maradhiya kipindupindu ama kuharisha.Alifahamisha kuwa wan...

ZINAZOENDANA

Picha: Mvua zasababisha madhara, Magari yaangukiwa na Miti

3h ago

Mvua zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali nchini Kenya zimeleta madhara ikiwemo miti kuang...

Mvua yasababisha hasara kubwa Kenya

16h ago

Takriban watu 15 wamekufa na wengine kujeruhiwa huku mali yenye thamani ya mamilioni ya pesa ikiharib...

Mafuriko yasababisha vifo vya watu 15 nchini Kenya

1d ago

Watu 15 wamepoteza maisha nchini Kenya kutokana na mvua kubwa inayoendelea kunyesha katika maeneo mba...

Mafuriko Yasababisha Ofisi za Mwendokasi Kuhamishwa

Mradi wa Mabasi yaendayo haraka (Udart) umeamua kuhamisha ofisi zake kwa muda ili kuepusha ...

TANGA RAHA- Sehemu ya Thelathini na Mbili ( 32 )

1d ago

AGE..................18+WRITER............EDDAZARIA G.MSULWAI...

Ofisi za mabasi ya mwendokasi zahamishwa

1d ago

Mradi wa Mabasi yaendayo haraka (Udart) umeamua kuhamisha ofisi zake kwa muda ili kuepusha uharibifu ...

MVUA YALAZA WAKAZI WA GOBA NJE, DALADALA ZAONJA BARABARA YA MWENDO KASI DAR

2d ago

Na Leandra Gabriel, Globu ya jamiiMVUA za masika zinazoendelea kunyesha katika Jiji la Dar es Salaam...

Kivuko cha miti hatarini kusombwa na maji

2d ago

 Wakazi wa Kivule wamelazimika kutumia  kivuko cha miti kilichowekwa baada ya mvua  kusomba ...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek