DSE yafafanua kuhusu kupungua kwa mauzo ya hisa

By Dewji Blog, 6d ago

Kufuatia baadhi ya watu katika mitandao ya kijamii kuhusisha upunguaji wa mauzo ya Soko la Hisa la Dar es Salaam-DSE na hali ya uchumi, Afisa Mtendaji Mkuu wa Soko hilo Moremi Marwa ametoa ufafanuzi wa muenendo wa soko hilo. Amesema kupungua huko ni hali ya kawaida katika soko kunakotokana na wawekezaji kupendelea kubadili uwekezaji kutoka kwenye hisa kwenda kwenye hati fungani, na kwamba hali hiyo ikitokea mauzo ya hisa hushuka wakati ya hati fungani yakipanda.  Huku akirejea takwimu zinazoonyesha mwenendo wa soko katika kipindi cha robo mwaka wa 2017 na 2018, amesema kuanzia Januari hadi ...

ZINAZOENDANA

Shilole Afanya Maamuzi haya na Kupost Au la Pink

49m ago

Story inayo-trend kwenye mitandao ya kijamii ni hii baada ya Wema Sepetu ku-post picha ya ua rose jek...

Haya Hapa Maamuzi ya Shilole Baada ya Zari na Wema Kupost Maua Yao

Leo March 19,2018 story inayo-trend kwenye mitandao ya kijamii ni hii baada ya Wema Sepetu ku-post pi...

Mhagama: Vijana tumieni mitandao ya kijamii kujikwamua kiuchumi

8h ago

Amewataka vijana kuacha kutumia makundi ya mtandao huo  kuzungumza masuala ya siasa na mambo mengi...

TPDC yawataka wananchi kupuuza taarifa zinazosambaa juu ya kufungwa kwa kiwanda cha saruji cha Dangote

8h ago

Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanania (TPDC) linawataka Wananchi kupuuza taarifa inayosambaa kwenye...

Prezzo: Bado Nampenda Amber Lulu

12h ago

Mwanamuziki kutoka 254 Kenya, Prezzo amezidi Kupitia penzi lake kwa aliyekuwa mpenzi wake msanii wa B...

Irene Atoa Sababu ya Mama Yake Kutohudhuria Harusi Yake.

14h ago

Kama ambavyo watu wengi hawakutaka kuamini kuhusu kufunga ndoa kwa Irene Uwoya na Dogo Janja , pia ya...

'€œHakuna Mwanamke Aliyeniliza Kama Wema'€- Diamond

15h ago

Staa wa Bongo fleva Diamond Platnumz anazidi kutengeneza headlines kwenye mitandao ya kijamii Ikiwa a...

BET Waonyesha Kumtambua Diamond na Kazi Zake.

15h ago

Diamond wiki yote iliyopita ameonekana kuwa  na trending kubwa katika mitandao ya kijamii hasa baa...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek