Sio Rosa Ree tu, sitaki kushindanishwa na yeyote - Chemical

By Bongo 5, 4d ago

Rapper Chemical amesema moja ya vitu asivyovipenda ni kushindanishwa katika muziki. Msanii huyo ambaye anafanya vizuri na ngoma 'Asali' ameiambia ITV kuwa suala la kushindanishwa na Rosa Ree lingeanza wakati anatoka na ngoma zake kama Sielewi na VIP ila sio sasa. '€œSio Rosa Ree tu, sitaki ku-battle na mtu yeyote, mimi nafanya muziki wangu mwenyewe, […]

ZINAZOENDANA

Maleek Berry aachia kazi mpya yenye jina kama aliyoshirikishwa Harmonize

4h ago

Mwimbaji na mtayarishaji wa muziki wa kizazi kipya kutoka nchini Nigeria na Staa wa ngoma 'Pon ...

New Video: Don Pol - Nani hakosei?

5h ago

Msanii wa muziki kutoka Tsgang Team Selekta Gang, Don Pol baada ya kufanya vizuri na video ya wimbo T...

Hivi ndivyo Billnass atakavyotumia Elimu yake.

6h ago

Msanii wa Muziki wa Rap nchini Tanzania Billnass ameizungumzia jinsi gani ataitumia Elimu yake ambayo...

New Audio: Prince_Charz: Msanii anayetamba na RnB ya Kisukuma

7h ago

Bongo Five inamtambulisha Msanii mkali wa muziki wa rnb anayeimba kwa Lugha ya Kisukuma, Charles Ndel...

Queen Darleen adai akikosa kufanya mapenzi kwa muda mrefu anachanganyikiwa (Video)

8h ago

Msanii wa muziki kutoka label ya WCB, Queen Darleen ameushangaza umma wa Wakenya baada ya kudai kwamb...

RC Makonda atoa vibali vya kazi kwa wasanii wa muziki na filamu Dar

8h ago

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Paul Makonda amepiga marufuku baadhi ya watendaji wanaozuia Wasani...

MRISHO MPOTO AKOSHWA NA PROGRAMU YA UMILIKISHAJI ARDHI CHINI YA MHE.LUKUVI,AKUTANA NA WANANCHI WALIOKABIDHIWA HATI ZAO

Msanii wa muziki wa asili, Mrisho Mpoto ambaye amekuwa kioo cha jamii kwa muda mrefu kutokana na kuto...

Stan Bakora ampongeza Diamond Platnumz na kutaja thamani ya Sauti yake katika Wimbo wowote

9h ago

Muigizaji na mchekeshaji kutoka Tanzania, Stanley Yusuph 'Stan Bakora' ametamani kolabo ...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek