UN YAJITOSA KUWASAIDIA MAAFISA HABARI WA SERIKALI

By Issa Michuzi, 4d ago

Na.Vero.Ignatus Arusha.Umoja wa mataifa umekubali kuingia makubaliano na Serikali ya Tanzania kupitia chama cha maafisa habari na mawasiliano na wa Serikali na uhusiani TAGCO katika sekta ya habari ambapo mkataba huo utatoa nafasi kwa wanahabari kutembelea na kuitangaza miradi mbalimbali inayotekelezwa na serikali.Muwakilishi mkazi wa Umoja wa Mataifa Alvaro Rodriguez amesema UN ni mshiriki mwenza wa maswala ya maendeleo kwahiyo kwao mkutano kama huo ni muhimu ambapo shirika la maendeleo la umoja wa Kimataifa (UNDP) ipo katika hatua mbalimbali za utekelezaji wa malengo ya dunia kwa miaka ...

ZINAZOENDANA

Ndoto ya Simba yafia Misri

17m ago

Tumaini pekee la Simba kucheza mashindano ya kimataifa msimu ujao ni kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara ...

Mnyama Simba SC atolewa kiume na Waarabu wa Misri

23m ago

Klabu ya wekundu wa msimbazi Simba imeyaaga rasmi mashindano ya kombe la Shirikisho barani Afrika baa...

Tazama Live: Simba Vs Al Masry Hapa

 The post Tazama Live: Simba Vs Al Masry Hapa appeared first on Global Publishers.

Live: Tazama hapa Al Masry v Simba

3h ago

Mchezo was marudiano Kati ya Simba na Al Masry hautakuwa live kwenye televisheni   Tumekusogezea...

Simba ikishinda, kila mchezaji Sh 5Mil

4h ago

Vinara hao wa Ligi Kuu Bara wanajivunia rekodi yao ya kuitoa Zamalek mwaka 2003

Yanga yaangukia ilipo Simba

4h ago

Wawakikishi wa Tanzania bara kwenye michuano ya vilabu bingwa Afrika Yanga SC wametolewa kwenye mashi...

Yanga SC yaifuata Simba SC kombe la Shirikisho Afrika

4h ago

Yanga SC yaangukia katika michuano ya kombe la Shirikisho baada ya kutolewa klabu bingwa Barani Afrik...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek