MALIKIA WA NYIMBO ZA INJILI ROSE MUHANDO ATHIBITISHA KUZINDUA ALBAMU YAKE MPYA TAMASHA LA PASAKA KANDA YA ZIWA

By Issa Michuzi, 6d ago

Malkia wa nyimbo za Injili hapa nchini,Rose Muhando ametihitisha kushiriki  tamasha la Pasaka linalotarajiwa kufanyika ndani ya uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza Aprili 1 na Aprili 2 kwenye uwanja wa Halmashauri mjini Bariadi Mkoani Simiyu. Akizungumza hivi karibuni wakati wa maandalizi yake,Rose Muhando amesema yuko tayari kwa kazi ya kuburudisha katika tamasha hilo ambapo pia atazindua albam yake yenye jumla ya nyimbo saba,itakayojulikana kwa kwa jina la '€œUsivunjike Moyo'€ .Katika Tamasha hilo Kiingilio kimepangwa kuwa, watu wazima ni  shilingi Elfu 5000 na watoto...

ZINAZOENDANA

Makamu wa Rais akagua ujenzi wa Skuli ya Sekondari Micheweni

7m ago

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki ujenzi wa...

Makamu wa Rais Mama Samia aendelea na ziara yake kisiwani Pemba

15m ago

 MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe:Samia Suluhu Hassan, akipata malezo juu y...

Afande Sele Afunguka Siri za Wapinzani

49m ago

Msanii mkongwe wa BongoFleva Afande sele amesema kitendo cha yeye kujiunga CCM kimemfanya apokee simu...

WAIMBAJI MAHIRI WA NYIMBO ZA INJILI KUTIKISA KANDA YA ZIWA TAMASHA LA PASAKA APRILI MOSI

3h ago

Na Said Mwishehe, Globu ya jamiiKADIRI kengele inavyogonga kuashiria sikukuu ya Pasaka ipo jirani, nd...

WANAMUZIKI MAARUFUKU WA NYIMBO ZA INJILI KUISHIKA KANDA YA ZIWA TAMASHA LA PASAKA APRILI MOSI

Na Said Mwishehe, Globu ya jamii KADIRI kengele inavyogonga kuashiria sikukuu ya Pasaka ipo jirani, n...

WAZIRI DK.MWIGULU NCHEMBA MGENI RASMI TAMASHA LA PASAKA KANDA YA ZIWA

Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion Bw. Alex Msama akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar...

Lowassa: Mkapa amegusia ajenda yangu tangu CCM

5h ago

Asema alichokisema Mkapa kilikuwepo katika Ilani ya Uchaguzi ya Chadema ya mwaka 2015

WAZIRI DK.MWIGULU NCHEMBA KUMWAKILISHA MAKAMU WA RAIS TAMASHA LA PASAKA KANDA YA ZIWA

Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion Bw. Alex Msama akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek