KAGERA SUGAR YAITANDIKA MWADUI FC NA KUPANDA HADI NAFASI YA 12 YA MSIMAMO LIGI KUU VODACOM

By Full Shangwe Blog, 4d ago

Mchezo mmoja wa Ligi Kuu Bara umechezwa jioni ya leo kwenye Uwanja wa kaitaba Stadium ambapo Kagera Sugar ilikuwa mwenyeji dhidi ya Mwadui FC. Mchezo huo umemalizika kwa wenyeji Kagera Sugar kuibuka na ushindi wa bao 1-0 na kuifanya ianze taratibu safari ya kuepuka kushuka daraja. Bao pekee katika mchezo huo limefungwa na Japhet Makari …

ZINAZOENDANA

Ndoto ya Simba yafia Misri

14m ago

Tumaini pekee la Simba kucheza mashindano ya kimataifa msimu ujao ni kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara ...

Deportivo La Coruna yatoka sare na Las Palmas La Liga

3h ago

Klabu ya Deportivo La Coruna imetoka sare ya goli 1 - 1 dhidi ya Las Palmas mchezo wa ligi ya ...

Yanga yaangukia Kombe la Shirikisho Afrika

3h ago

Baada ya kutolewa katika Ligi ya Mabingwa Afrika, nahodha ya Yanga, Nadir Haroub amesema wanahitaji k...

Yanga yaangukia Kombe la Shirikisho Afrika

4h ago

Baada ya kutolewa katika Ligi ya Mabingwa Afrika, nahodha ya Yanga, Nadir Haroub amesema wanahitaji k...

Simba ikishinda, kila mchezaji Sh 5Mil

4h ago

Vinara hao wa Ligi Kuu Bara wanajivunia rekodi yao ya kuitoa Zamalek mwaka 2003

KCB yatinga fainali Kenya Cup

5h ago

Mabingwa watetezi KCB wametinga fainali ya Ligi Kuu ya Raga (Kenya Cup) ya msimu 2017-2018 baada ya k...

Hii ni Suprise Nyingine Kutoka Vodacom Tanzania, Instagram sasa ni Bureeee

Tunajua kuwa Instagram ni moja kati ya mtandao bora sana wa kijamii kwa sasa nahabari kubwa Tanzania ...

Nzoia Sugar yaizidi nguvu Zoo Kericho katika ushindi wa 2-1

6h ago

Nzoia Sugar FC imetoka chini bao moja na kuzima Zoo Kericho 2-1 kwenye Ligi Kuu uwanjani Sudi mjini B...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek