DK.MWIGULU AWATAKA WANAFUNZI KUACHA KUTENGENEZA TAASWIRA MBAYA KWA SERIKALI

By Issa Michuzi, 5w ago

Na Ripota Wetu,Globu ya jamii.WAZIRI wa Mambo ya ndani, Dk.Mwigulu Nchemba amewataka wanafunzi kuachana na harakati za kutengeneza taswira mbaya za Serikali badala yake kuwa na mitazamo chanya.Dk.Mwigulu ameyasema hayo jana katika kongamano la UNILIFE lililofanyika Chuo cha Biashara (CBE), ambalo liliandaliwa na Mbunge wa Viti maalum, Ester Mmasi.Amesema wanafunzi hawatakiwi kufanya harakati ili wawe adui wa Serikali kwani yenyewe ha...

ZINAZOENDANA

VIDEO-MAKAMBA: MUUNGANO NI URITHI WETU, TU UTUNZE

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. January Makamba akifungua kongamano...

Lulu Diva Ajikuta Akimwaga Chozi Hadharani Kisa Hiki Hapa

12h ago

MWANA-MUZIKI Lulu Abass 'Lulu Diva' hivi karibuni alidondosha chozi mbele ya wanafunzi w...

Lulu Diva Adondosha Chozi Mbele ya Madenti

MWANA-MUZIKI Lulu Abass 'Lulu Diva' hivi karibuni alidondosha chozi mbele ya wanafunzi w...

BUNGE LAPITISHA BILLIONI 898 BAJETI YA WIZARA YA AFYA, MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO

18h ago

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe.Ummy MwalimuNa Mwandishi Wetu DodomaB...

KIONGOZI MBIO ZA MWENGE AIPONGEZA BUHIGWE KWA KUJENGA MAJENGO YENYE UBORA KWA GHARAMA NAFUU

20h ago

Na Rhoda Ezekiel Kigoma.KIONGOZI wa mbio za Mwenge wa Uhuru jitaifa charles Kabeho ameipongeza ...

Benki ya Dunia yakubali kushirikiana na Serikali kutafuta ufumbuzi wa mafuriko Dar es Salaam

21h ago

Benki ya Dunia (WB) imekubali kushirikiana na Serikali ya Tanzania katika kukabiliana na athari za ma...

Benki ya Dunia yakubali kushirikiana na Serikali kutafuta ufumbuzi wa mafuriko Dar es Salaam

22h ago

Benki ya Dunia (WB) imekubali kushirikiana na Serikali ya Tanzania katika kukabiliana na athari za ma...

Bodi mpya ya utafiti wa masuala ya afya zanzibar (ZAHRI) yazinduliwa

1d ago

Taasisi ya Utafiti wa Masuala ya Afya Zanzibar imetakiwa kuifikishia jamii matokeo ya Tafiti zao husu...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek