Mwigulu: '€œUkiona analalamika kama Lema ujue kuna kasoro"

By Edwin Moshi, 5w ago

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dkt. Mwigulu Nchemba amevunja ukimya kuhusu kauli ya Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi Tanzania-TSNP, Abdul Nondo aliyemtaka ajiuzulu kwa madai kuwa ameshindwa kutekeleza jukumu lake la kulinda usalama wa raia kufuatia uwepo wa matukio ya baadhi ya watu kupotea na wengine kuuliwa na watu wasiojulikana.Dkt. Nchemba wakati anazungumza na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam-UDSM leo, amesema tangu Nondo atoe kauli hiyo hakujua kama ilimlenga yeye na badala yake alijua ilimlenga pengine Waziri wa Srikali ya wanafunzi wa chuo hicho- DARUSO au waziri mwengine...

ZINAZOENDANA

BENKI YA DUNIA YAONESHA NIA KUSHIRIKI UJENZI RELI YA ISAKA - KIGALI

4h ago

Ujumbe wa Tanzania (kulia) na ujumbe wa Benki ya Dunia (kushoto) wakiwa katika majadiliano ya miradi ...

VIDEO-MAKAMBA: MUUNGANO NI URITHI WETU, TU UTUNZE

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. January Makamba akifungua kongamano...

SIDO yawakumbuka wajasiriamali DSM

9h ago

Shirika la Kuhudumia Viwanda Vidogo-SIDO limewatunuku vyeti maalumu wajasiriamali takribani 300 kutok...

Wizi wa almasi: Mugabe atakiwa kutoa ushahidi

11h ago

Bunge la Zimbabwe limemtaka rais wa zamani wa taifa hilo Robert Mugabe kutoa ushahidi wa madai aliyot...

Wizi wa almasi: Mugabe atakiwa kutoa ushahidi

11h ago

Bunge la Zimbabwe limemtaka rais wa zamani wa taifa hilo Robert Mugabe kutoa ushahidi wa madai aliyot...

Ukarabati wa miundombinu ya barabara na madaraja,Serikali inaandaa utaratibu kufuatia uharibifu uliosababishwa na mvua

11h ago

Waziri wa nchi ofisi ya rais Tawala za mikoa na serikali za mtaa Sulemani Jaffo amebainisha hayo jiji...

Rais wa Afrika Kusini,Akabiliana na maandamano ya jimbo la Kaskazini Magharibi

12h ago

Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa amefanya mazungumzo na kiongozi wa jimbo la kaskazini magharibi...

Rais wa Botswana amtaka Kabila asigombee tena

12h ago

Botswana,moja ya nchi za Afrika zilizoimarika katika demokrasia, ndiyo nchi pekee ambayo imethubutu k...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek