Hamisa Mobetto na Lulu Diva Kupamba Steji Moja Nchini Uingereza

By Ghafla Tanzania, 5w ago

Mwanamuziki wa Bongo fleva anayefanya vizuri hivi sasa na ngoma yake ya ‘Amezoea’ Lulu Diva atapanda steji moja Hamisa Mobetto katika uzinduzi wa Lipstick zake nchini Uingereza. Mzazi mwenza wa staa Bongo fleva Diamond Platnumz, Hamusa Mobetto anatarajia kuzindua rasmi lipstick zake zinazojulikana Kama “Charmed Cosmetic”. Kwenye uzinduzi huo utakaofanyika tarehe 5 Mei 2018, utasindikizwa na burudani toka kwa Lulu Diva ambaye ametoa wimbo wake mpya hivi karibuni unaoenda kwa jina la Huba. Hamisa alitangaza habari hiyo njema kupitia ukurasa wake wa Instagram, ambapo alian...

ZINAZOENDANA

Zari Amlilia Masogange, Akumbuka SMS Zake

MPENZI wa zamani wa mwanamuziki Diamond Platnumz, Zarinah Hassan 'Zari The Boss Lady' an...

Wimbo wa Jason Derulo na Diamond kwa ajili ya Kombe la Dunia umetoka, usikilize hapa

13h ago

Hatimaye wimbo wa Jason Derule na Diamond Platnumz ‘Colours’ kwa ajili ya michuano ya Kom...

Huu Hapa Ushauri wa Mbasha kwa JokateBaada ya Alikiba Kuoa Mwanamke Mwingine

14h ago

Siku ya April 19,2018 msanii wa Bongo Fleva Ali Kiba alifunga pingu za maisha na mpenzi wake Amina Kh...

Mfahamu kiundani msanii aliyeimba Sikomi ya Diamond kwenye The Voice Afrique

15h ago

Asubuhi kumekucha na makucha yake! Natafuta simu yangu kuweza kufahamu ni habari gani zinaendelea nch...

Siri 6 Kiba Kumuoa Mkenya Zaanikwa!

NYUMA ya tukio kubwa na la kihistoria kwenye ulimwengu wa burudani, lililogubikwa na kufuru ya fedha ...

Baba Daimond Amwakia Daimond Kisa Video Yake ya Utupu Iliyosambaa Mitandaoni

20h ago

WAKATI leo mwanaye ambaye ni staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul Jumaa 'Diamond Platnumz' ...

Baba'ke Diamond Atema Cheche Kesi ya Mwanaye

WAKATI leo mwanaye ambaye ni staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul Jumaa 'Diamond Platnumz' ...

Simanzi: Agness Masogange afariki Dunia

1d ago

Mlimbwende aliyejipatia umaarufu katika video za Bongo Fleva Agness Gerald maarufu kama Masogange ame...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek