Model wa Video ya 'Ntampata Wapi' ya Diamond Ashinda Taji la Top Model SA

By Udaku Specially, 5w ago

Unamfahamu Melissa Magiera ambaye amewahi kuonekana kwenye video ya 'Ntampata Wapi' ya Diamond? Nadhani utakuwa umeshamkumbuka kupitia video hiyo niliyokutajia.Mrembo huyo ambaye kwa sasa yupo chini ya kampuni ya Fan Jam Model Management, wiki iliyopita amefanikiwa kushinda taji la Top Model 2018 nchini Afrika Kusini.Melissa ameshinda taji hilo kwa kuwabwaga washiriki wengine 38 ambao walifanikiwa kutinga katika hatua ya nusu fainali.Mrembo huyo ataiwakilisha Afrika Kusini kwenye mashindano ya Top Model ya dunia ambayo yatafanyika Ijumaa ya April 6 na 7 ya mwaka huu mjini London.

ZINAZOENDANA

New Music: P The MC ft. Soprano Musiq - Mafuriko

2h ago

Rapper P The MC ameachia ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la Mafuriko ambayo amemshirikisha So...

Video: Rais Magufuli awataka viongozi wastaafu wajifunze hili kutoka kwa Pinda

2h ago

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amewataka baadhi ya viongozi kujif...

WASANII KWA HUZUNI: TANGULIA MASOGANGE

SIMANZI, vilio na majonzi vimetawala miongoni mwa wasanii wa Bongo Fleva na Bongo Movies wakati wa ku...

Waziri Jenista Mhagama Ajibu Ripoti ya C.A.G - VIDEO

 The post Waziri Jenista Mhagama Ajibu Ripoti ya C.A.G – VIDEO appeared first on Global P...

Tazama A to Z ya mazishi ya Agness Masogange kijijini kwake Utengule (+video)

5h ago

Leo Aprili 23, 2018 mamia ya wakazi wa mkoa wa Mbeya wamejitokeza kuuaga mwili wa aliyekuwa Video Vix...

Zari Amkumbuka Agness Masogange Amefunguka Haya Kuhusu Kifo Chake

Kifo cha Video Vixen na msanii wa Bongo movie Agnes Gerald maarufu kama Masogange kimewagusa wengi ha...

Mkubwa Fela- Wanaopenda Kuona Diamond na Ali Kiba Wana Ugomvi Wameumbuka

Sio jambo la siri kuwa Wasanii wakubwa wa Bongo fleva Diamond Platnumz na Ali Kiba hawaivi chungu kim...

NEW VIDEO | Kayumba - TUONGEE (Official Music Video)

 Twitter: @chokadj @DJChokaUpDates Instagram: @ChokaDJ @DJChokaUpDates  @djchoka...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek