Manara Amkingia Kifua Diamond

By Ghafla Tanzania, 5w ago

Moja ya watu wanaojihusisha sana na soka Tanzania Hajis Mananra amefunguka na kumkingia wa kifua msanii Diamond na wenzake ambao wamekuwa wakishinda mitandao kutwa kujaribu kutetea haki zo kwa Naibu waziri ambae ameibuka na sera ya kuwafungia wasanii kwa madai kuwa wanaimba nyimbo zisozokuwa na maadili katika jamii. Hivi karibun Diamond aliongea katika mdia moja na kusema kuwa hata kama atatakiwa kulala jela kwa sababu ya muziki basi atafanya ilimradi kutetea haki ya muziki kwa sababu wau wanaofungia muziki huo hawajui historia ya muziki wala msanii wanaemfungia. Hajis mManara anasma kuwa pamo...

ZINAZOENDANA

Mimi Mars Kumwambii Kitu kwa Kolabo

MWANADADA kiwango kwenye gemu la Muziki wa Bongo Fleva, Marriane Mdee 'Mimi Mars', amefu...

Baada ya Kufungiwa na Kufunguliwa, Roma Anena Haya

MACHI 1, mwaka huu ni mwezi usiosahaulika katika maisha ya Ibrahim Musa 'Roma Mkatoliki'...

Lulu Diva Ajikuta Akimwaga Chozi Hadharani Kisa Hiki Hapa

12h ago

MWANA-MUZIKI Lulu Abass 'Lulu Diva' hivi karibuni alidondosha chozi mbele ya wanafunzi w...

Zari Amlilia Masogange, Akumbuka SMS Zake

MPENZI wa zamani wa mwanamuziki Diamond Platnumz, Zarinah Hassan 'Zari The Boss Lady' an...

Mlimbwende Agnes Masogange kutoka Tanzania aaga dunia

13h ago

Mlimbwende mnogesha video za muziki wa kizazi kipya nchini Tanzania Agnes Gerald Alias Masogange amea...

Wimbo wa Jason Derulo na Diamond kwa ajili ya Kombe la Dunia umetoka, usikilize hapa

13h ago

Hatimaye wimbo wa Jason Derule na Diamond Platnumz ‘Colours’ kwa ajili ya michuano ya Kom...

Mfahamu kiundani msanii aliyeimba Sikomi ya Diamond kwenye The Voice Afrique

15h ago

Asubuhi kumekucha na makucha yake! Natafuta simu yangu kuweza kufahamu ni habari gani zinaendelea nch...

Zamani muziki ilikuwa lazima ujue kuandaa melodi ya wimbo wako

16h ago

Juzi nilikuwa naongea na msanii maarufu ambaye ana wimbo ambao siku hizi haukosi kupigwa hewani mara ...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek