Rayvanny Ampa Somo Diamond "Hakuna Anayefanikiwa Akakosa Maadui"

By Udaku Specially, 5w ago

Msanii kutoka WCB, Rayvanny amefunguka mambo kadhaa kwa kile anachopitia Diamond kwa sasa katika muziki wake.Muimbaji huyo ameeleza kuwa hakuna anayefanikiwa akakosa maadui na ndicho kinachotokea kwa Diamond sasa. Kupitia ukurasa wake wa Instagram Rayvanny ameandika;Kuna Vitu Pengine Unaweza Ukawa Unapatia Au Vingine Unakosea Sitaki Kuongelea Hilo Sababu we nawe Ni Binadamu. ILA KWENYE KUSEMA UKWELI NITASEMA!!!! Si kwa Sababu wewe Ni boss Wangu Hapana!!! Ila Mara Nyingi Thamani Ya mtu Na Umuhimu Wa Mtu wengi Wanaujua Akishaondoka.... MZIKI NI KAZI NA NI AJIRA Namaanisha Kuna Familia Nyingi...

ZINAZOENDANA

Mimi Mars Kumwambii Kitu kwa Kolabo

MWANADADA kiwango kwenye gemu la Muziki wa Bongo Fleva, Marriane Mdee 'Mimi Mars', amefu...

Baada ya Kufungiwa na Kufunguliwa, Roma Anena Haya

MACHI 1, mwaka huu ni mwezi usiosahaulika katika maisha ya Ibrahim Musa 'Roma Mkatoliki'...

WAZIRI MKUU MAJALIWA AWEKA JIWE LA MSINGI LA MRADI WA UJENZI WA MAGHALA NA VIHENGE VYA KISASA MJINI DODOMA

11h ago

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema hali ya uzalishaji wa mazao ya chakula nchini imeimarika na kufik...

Lulu Diva Ajikuta Akimwaga Chozi Hadharani Kisa Hiki Hapa

12h ago

MWANA-MUZIKI Lulu Abass 'Lulu Diva' hivi karibuni alidondosha chozi mbele ya wanafunzi w...

Idriss Apata Dili Kuwa Balozi wa Usafiri wa Uber

12h ago

Mchekeshaji maarufu, muigizaji  na mshindi wa Shindano la Big Brother Afrika mwaka 2014, Idris S...

Zari Amlilia Masogange, Akumbuka SMS Zake

MPENZI wa zamani wa mwanamuziki Diamond Platnumz, Zarinah Hassan 'Zari The Boss Lady' an...

Mlimbwende Agnes Masogange kutoka Tanzania aaga dunia

13h ago

Mlimbwende mnogesha video za muziki wa kizazi kipya nchini Tanzania Agnes Gerald Alias Masogange amea...

Idris Sultan achaguliwa kuwa balozi wa Uber Tanzania

13h ago

Mchekeshaji maarufu, muigizaji  na mshindi wa Shindano la Big Brother Afrika mwaka 2014, Idris S...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek